Saidia kutoa jina kwa mwanangu. Help to name my son

Zilipendwa au seduce yako pouwa kama wa kiume muite zari ze boss au komando jide ila kama wa kike hayo ya mwanzo mkuu
 
kwa kukushauri jina linaweza kubeba vitu vingi utakavyomuita ndivyo atakavyokuwa,watu wasije wakakupa majina ya mizimu yao huko ukaja kujuta mwenyewe tafadhali mchagulie wewe mwenyewe.
 
Salam kweni wakuu,
Nipo nawaza jina la kumpa mwanangu bado nipo alijojo ni jina gani limfae. Hadi sasa majina yanayonijia ni haya
1.Magufuli
2.Lissu
3.Trump
4.Durtete
5.Kim Jong un.
6.Makonda
7.Bashite
Maoni yenu tafadhari


Tundu Saanane-Mbowe!
 
Ningependa la lisu, lakini namhurumia akikua atashambuliwa na watu wanaojulikana.
 
Bora umwite "KINYE" Ila so unajua madem wanavyoita kwa mbwembwe wanaweza kumuongezea "S' mbele ya jina lake na wao watamwita "KINYES"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…