Saidia Tafadhal

Saidia Tafadhal

IshaLubuva

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2008
Posts
250
Reaction score
11
Computa yangu imepatwa na kirusi ambacho kinatafuna mafaili na kuweka ujumbe unaoanza na maneno "Sorry I do not like to do it............................"

Taafadhal mwenye kujua namna ya kuondoa tatizo hili anipe mwongozo.
 
Labda unge tufafanulia hizo file zinafutwa ni zipi za OS au data zako? na unatumia antivirus gani? ili tuweze kukusaidia zaidi.
 
Back
Top Bottom