I IshaLubuva JF-Expert Member Joined Dec 4, 2008 Posts 250 Reaction score 11 May 26, 2010 #1 Computa yangu imepatwa na kirusi ambacho kinatafuna mafaili na kuweka ujumbe unaoanza na maneno "Sorry I do not like to do it............................" Taafadhal mwenye kujua namna ya kuondoa tatizo hili anipe mwongozo.
Computa yangu imepatwa na kirusi ambacho kinatafuna mafaili na kuweka ujumbe unaoanza na maneno "Sorry I do not like to do it............................" Taafadhal mwenye kujua namna ya kuondoa tatizo hili anipe mwongozo.
Tumsifu Samwel JF-Expert Member Joined Jul 30, 2007 Posts 1,407 Reaction score 161 May 26, 2010 #2 Labda unge tufafanulia hizo file zinafutwa ni zipi za OS au data zako? na unatumia antivirus gani? ili tuweze kukusaidia zaidi.
Labda unge tufafanulia hizo file zinafutwa ni zipi za OS au data zako? na unatumia antivirus gani? ili tuweze kukusaidia zaidi.