Saidia wazo langu la biashara lipate mtaji

Saidia wazo langu la biashara lipate mtaji

Mgengeli

Senior Member
Joined
Sep 23, 2011
Posts
193
Reaction score
13
Kwenu waungwana na wadau,wachambuzi wa mawazo ya kiashara,Ninalo wazo la kibiashara linalotokana na ujuzi na uzoefu mkubwa ktk biashara hiyo,natafuta anayeweza na kufanya wazo langu kupata mtaji kibiashara,asanteni
 
Shukrani,Wazo ni kuanzisha biashara ya usafirishaji kwa kwenda Goma Bukavu na Rwanda kuna uhakika wa biashara wa kontena 4mpaka7 kwa mwezi garama baada ya kutoa runing cost ipo usd 4000 kila contena,natafuta mtaji wa kununua gari hata kama ni kipisi mende
 
Fanya uchanganuzi wa kutosha kujua unataka kununua gari aina gani na bei yake na mahitaji mengine yanayohitajika kwenye hiyo biashara ili ufahamu unahitaji mtaji wa shs ngapi. Baada ya hapo then uanze ku explore opportunities za kuraise hiyo hela.
 
Yote yamefanyika kwa muda wa miaka mingi na chaguo langu ni scania ndo inaweza kuhimili kuanzisha biashara
 
mimi ninalo semi linaloweza beba 20ft au 40ft container. Kama una kazi ya uhakika unaweza fikiria jinsi ya kushirikiana kwa manufaa yako na yangu pia. Kibali cha transit ninacho ila sina kazi wewe unazo!
 
ni pm,sina kinyongo kama mpiganaji ili tufanikiwe ni lazima tuungane,nipo tayari tukutane muda wowote
 
Kutembea na truckdriver ...... wote hawa ni utapeli wa member anayeitwa mgengeli

Jf members, watch out .....!!!

this is typical scam

Moderators, watch the member known by the id truckdriver .... he is the same id of mgengeli who had posted scam threads several times and being banned
 
mkuu bluetooth mimi sina uhusiano wowote na id ya mgengeli. Unaweza kutumia moderators kuhakiki. Mimi ni mdau katika usafirishaji mizigo nina semi-trailer na nimekuwa nikifuatilia thread zote zinazohusu usafirishaji mizigo.
 
Back
Top Bottom