Kwenu waungwana na wadau,wachambuzi wa mawazo ya kiashara,Ninalo wazo la kibiashara linalotokana na ujuzi na uzoefu mkubwa ktk biashara hiyo,natafuta anayeweza na kufanya wazo langu kupata mtaji kibiashara,asanteni
Shukrani,Wazo ni kuanzisha biashara ya usafirishaji kwa kwenda Goma Bukavu na Rwanda kuna uhakika wa biashara wa kontena 4mpaka7 kwa mwezi garama baada ya kutoa runing cost ipo usd 4000 kila contena,natafuta mtaji wa kununua gari hata kama ni kipisi mende
Fanya uchanganuzi wa kutosha kujua unataka kununua gari aina gani na bei yake na mahitaji mengine yanayohitajika kwenye hiyo biashara ili ufahamu unahitaji mtaji wa shs ngapi. Baada ya hapo then uanze ku explore opportunities za kuraise hiyo hela.
mimi ninalo semi linaloweza beba 20ft au 40ft container. Kama una kazi ya uhakika unaweza fikiria jinsi ya kushirikiana kwa manufaa yako na yangu pia. Kibali cha transit ninacho ila sina kazi wewe unazo!
mkuu bluetooth mimi sina uhusiano wowote na id ya mgengeli. Unaweza kutumia moderators kuhakiki. Mimi ni mdau katika usafirishaji mizigo nina semi-trailer na nimekuwa nikifuatilia thread zote zinazohusu usafirishaji mizigo.