Mnaungana kupongezana uongo mtupuUsingeyashitua ungeyaacha yashangilie kwanza [emoji23][emoji16]
Kiatu ni kimoja tu acha kuleta hadithi za kujifariji.Huuu ni uongo mtupu, kwa kanuni za TFF hao wote wanapewa kiatu...tatizo mnawaza kwa kutumia makalio
Hahahah labda sheria za bandari...Pole Mr kolo......Sheria ilibadilika
Ndio tatizo lenu utopolo, kutumia akili hamuwezi...Kiatu ni kimoja tu acha kuleta hadithi za kujifariji.