Saido na Ngoma wanaichechemeza Simba

Saido na Ngoma wanaichechemeza Simba

Fabrice Ngoma ni mpole pole sana hivyo anapoozesha mpira...

Saido ni mchoyo wa pasi na anataka ni LAZIMA kwenye kila mechi afunge..
Ngoma akicheza namba 6 dhidi ya Yanga, uwezekano wa Yanga kupata kuanzia goli tatu ni mkubwa Sana.

Tulipo waeleza miezi mitatu iliyopita kuwa Ngoma si namba 6 hawakutuelewa.
Ngoma, Inonga na Che Malone wakicheza pamoja uwezekano wa mpinzani kupata goli ni zaidi ya 50% .
 
Anaetufelisha na kututia short hapo Simba ni uyo mrundi hakuna mtu mwingine,mpaka siku akiondoka ndio timu itarudisha makali yake! Kawamaliza makali wachezaji wengi kwa mambo yake ya gizani
 
Anaetufelisha na kututia short hapo Simba ni uyo mrundi hakuna mtu mwingine,mpaka siku akiondoka ndio timu itarudisha makali yake! Kawamaliza makali wachezaji wengi kwa mambo yake ya gizani
Una ushahidi au ni chuki binafsi?.Kwasababu timu nzima ni mbovu,hadi yeye sasa iweje awamalize wenzake makali alafu ashindwe kunoa yake.
 
Simba nzima ni mbovu wachezaji hadi viongozi,tuache kuokoteza makosa ya wachezaji uwanjani ili kufukia mapungufu ya timu.Tatizo la saido ni ubinafsi wa kukaa sana na mpira hadi anapoteza wakati namba anayocheza haitaki kufanya hivyo,ngoma yuko pole pole kufika kwenye matukio.lakini hayo ni mambo ya kawaida uwanjani ambayo yanarekebishwa na mwalimu.Tatizo la simba ni zaidi ya hao wachezaji wawili labda kama tunataka kuwaangushia mzigo wa lawama.
 
Back
Top Bottom