Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Saido mbinafsi sana,ila Ngoma anaweza badili Kasi ya uchezajiFabrice Ngoma ni mpole pole sana hivyo anapoozesha mpira...
Saido ni mchoyo wa pasi na anataka ni LAZIMA kwenye kila mechi afunge..
Ngoma akicheza namba 6 dhidi ya Yanga, uwezekano wa Yanga kupata kuanzia goli tatu ni mkubwa Sana.Fabrice Ngoma ni mpole pole sana hivyo anapoozesha mpira...
Saido ni mchoyo wa pasi na anataka ni LAZIMA kwenye kila mechi afunge..
Una ushahidi au ni chuki binafsi?.Kwasababu timu nzima ni mbovu,hadi yeye sasa iweje awamalize wenzake makali alafu ashindwe kunoa yake.Anaetufelisha na kututia short hapo Simba ni uyo mrundi hakuna mtu mwingine,mpaka siku akiondoka ndio timu itarudisha makali yake! Kawamaliza makali wachezaji wengi kwa mambo yake ya gizani