Tetesi: Saido Ntibazonkiza asajiliwa Yanga sc

Tetesi: Saido Ntibazonkiza asajiliwa Yanga sc

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,359
Reaction score
6,568
Ni mwendelezo wa Yanga sc kusajili wachezaji waliotelekezwa. Mshambuliaji raia wa Burundi ,Saido ntibazonkiza amerudi tena Jangwani na kupewa kandarasi ya miaka miwili kuwatumikia wana mboga mboga katika msimu wa 2024/2025.

Uongozi wa Yanga unaamini katika kusajili wachezaji waliotelekezwa na Simba sc na hawajasita msiku huu kuwasajili Baleke na Chama huku msimu uliopita wakimnasa Jonas Mkude.

Hii hali ya kusajili wachezaji wanaotelekezwa na Simba inatia mashaka zaidi na kufanya watu waamini kuwa uongozi wa Yanga unalipa fadhila kwa maduka yao yaliyowatumikia kwa kipindi cha miaka hii mitatu.
 
Nasikia na huyu wamesajili kiungo madoido Kiungo mashauzi
1703745417629.jpg
 
Saidio ni mchezaji mzuri ukilinganisha na Hawa wachezaji wetu wa kibongo labda kusema alikuwa analipwa pesa nyingi hivyo Simba wakaona wamuache
 
Back
Top Bottom