Rocco sifredi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 100
- 197
Me nilishawahi kusema na nitaendelea kusema Ntibazonkiza ndio anamnyima uhuru chama, sababu nafasi anayocheza ndio alikua akiicheza chama na kwa ubora takribani misimu yote aliyocheza simba.
Lakini tangu alivyokuja saido muda mwingi tunaona chama akichezeshwa winga, linkup ya saido na chama haifanyi kazi kabisa nilitegemea baada ya mapinduzi CUP luiz angeanza kupata nafasi sababu ni mchezaji mwenye hatari zaidi ya Saido na combination yake na Chama nadhani ni bora zaidi maana walishacheza pamoja na kwa ufanisi mkubwa ilikua ni kuwatafutia tu watu wengine wawili wa kuendana nao.