Rocco sifredi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 100
- 197
Kama UCHAWI upo lile zeee la kuitwa SAIDOO linatisha. Limewaweka mfukoni Wanasimba woooote hasa Viongozi halafu choyoooooo la kuunganisha timu.Kazi na umri, saidoo si wa kucheza simba tena, basi tu viongozi wa simba sio timamu.
Kifupi uwanjani huwa tupo 9 na yeye bado anatukaba.Kama UCHAWI upo lile zeee la kuitwa SAIDOO linatisha. Limewaweka mfukoni Wanasimba woooote hasa Viongozi halafu choyoooooo la kuunganisha timu.
Hahahahaha...we jamaaUmri wa saido ni sawa na kocha wa mamelodi hvo ni uhuni mtupu.
Hilo jicho la kiufundi limefanya nini mpaka sasa kuna tofauti yoyote ya kiuchezaji huyo saidoo mapinduzi cup chama alikua hayupo uliona simba ilivokua inahangaika kupata matokeoApply ukocha uifundishe simba.
Hiyo ni kazi ya kocha.
Kocha benkichaa ameaminiwa na kina mangungu ndio maana alipewa yeye timu na sio wewe.
Kocha anajicho la kiufundi kuliko lako
Mi naamini kocha kitu kikubwa endapo chama akicheza kama winga na saidoo akakaa pale kati.Hilo jicho la kiufundi limefanya nini mpaka sasa kuna tofauti yoyote ya kiuchezaji huyo saidoo mapinduzi cup chama alikua hayupo uliona simba ilivokua inahangaika kupata matokeo
HATA LEO AKIJA KOCHA TOFAUTI MAN CITY HALAFU FROM NOWWHERE AKAANZA KUMPIGA BENCHI DE BRUYNE AU AKAANZA KUMCHEZESHA NAFASI TOFAUTI NA CITY WAKAWA WANAHANGAIKA KUPATA MATOKEO UNAFIKIRI WATU WATAKAA KIMYA
Kama UCHAWI upo lile zeee la kuitwa SAIDOO linatisha. Limewaweka mfukoni Wanasimba woooote hasa Viongozi halafu choyoooooo la kuunganisha timu.
Kafungwa akili na Saidoo ndio maana hata haoni ubora wa Chama na udhaifu wa Saido na Kwa kuroga kwake anaanza yy badala ya konde boyApply ukocha uifundishe simba.
Hiyo ni kazi ya kocha.
Kocha benkichaa ameaminiwa na kina mangungu ndio maana alipewa yeye timu na sio wewe.
Kocha anajicho la kiufundi kuliko lako
Uko sahihi mkuu.Kafungwa akili na Saidoo ndio maana hata haoni ubora wa Chama na udhaifu wa Saido na Kwa kuroga kwake anaanza yy badala ya konde boy
Mi naamini kocha kitu kikubwa endapo chama akicheza kama winga na saidoo akakaa pale kati.
Sema siku zote muunganiko ni jambo gumu sana endapo mchejazi hatoridhia kucheza nafasi ambayo kocha anataka acheze.
Sio kwamba chama haweza kuwa na impact kama zamani akicheza kama winga.
Sema ndo hivyooo madharau ukishawaka ndo huwa yanaleta yote hayo
Chama hawezi kua bora atakua bora vipi wakati natural ni namba 10 unaanzaje na no 10 wawili kiasili halafu mmoja unamchezesha kama winga huku benchi kuna miqquesone na kibu ambao ni mawinga ??? Na sana muunganiko mzuriMi naamini kocha kitu kikubwa endapo chama akicheza kama winga na saidoo akakaa pale kati.
Sema siku zote muunganiko ni jambo gumu sana endapo mchejazi hatoridhia kucheza nafasi ambayo kocha anataka acheze.
Sio kwamba chama haweza kuwa na impact kama zamani akicheza kama winga.
Sema ndo hivyooo madharau ukishawaka ndo huwa yanaleta yote hayo
Mkuu tulia mpira hauendi kwa hisia za jirani,mpira ni ufundi zaidiHilo jicho la kiufundi limefanya nini mpaka sasa kuna tofauti yoyote ya kiuchezaji huyo saidoo mapinduzi cup chama alikua hayupo uliona simba ilivokua inahangaika kupata matokeo
HATA LEO AKIJA KOCHA TOFAUTI MAN CITY HALAFU FROM NOWWHERE AKAANZA KUMPIGA BENCHI DE BRUYNE AU AKAANZA KUMCHEZESHA NAFASI TOFAUTI NA CITY WAKAWA WANAHANGAIKA KUPATA MATOKEO UNAFIKIRI WATU WATAKAA KIMYA
Kama anataka kutuaminisha saidoo ni bora basi tuone wote hata kitakwimu basi haiwezekani mtu mechi 15 kachangia goli 5 halafu kati ya hizo 5 goli 4 ni penalti na assist 1 tu halafu eti jicho la kiufundi
Mkuu tulia mpira hauendi kwa hisia za jirani,mpira ni ufundi zaidi
Saido anawaza adribble na kufunga yeye,akikaa kati atatoa pasi kweliMi naamini kocha kitu kikubwa endapo chama akicheza kama winga na saidoo akakaa pale kati.