antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Dogo,mwamba unajifanya wewe ni hodari wa kulalamika zaidi right?
na kufanya malalamiko kama ndio utamaduni na utambulisho wako right?π
Gentleman,Dogo,
Wacha kunibambikizia maneno mdomoni, ni wapi nimelalama?!!
Wewe ni legend safi sanaGentleman,
nimefuta kauli.
naomba hasadi irekebishwe vizuri kwenye kumbukumbi sahihi JF π
Tendeni haki, siyo kama hivi mnavyofanya utapeli mchana kweupe..Unataka kusaidiwa nini.
Yani mimi ni balozi wa hili swala huku jukwaani,huwa naamini usitafute tatizo ila acha tatizo lijitokeze lenyeweChengine usipende kukagua simu ya mpenzi wa utaishi maisha ya furaha
Kujicompare lazima la sivyo unaweza usigutuke ukaona ni sawa tu kuishi nyumba zinazojaa maji VingungutiNyongeza : ukitaka kuishi kwa furaha usiji_compare na watu wengine.
sina maana hiyoKujicompare lazima la sivyo unaweza usigutuke ukaona ni sawa tu kuishi nyumba zinazojaa maji Vingunguti