Uyo ni mm kabisaMi hainipi kero ila atakaekuja kuvuruga nilipopanga ndo hatari inaanzia hapo,hata nisipomwambia nimekwazika ntabaki nimenuna huku namchekea,nanung'unika siku nzima yaani nahisi amedharau nilichokifanya
Mkuu Education Mentor kwa mjibu wa saikolojia uliyofundisha, huyu jamaa niliye-quite post yake ana tatizo lipi la kisaikolojia?Katika watu ninawaona wapuuzi wale wanaojiita wataalamu wa saikolojia
kwa namna hiyo pia Michael Jackson nae alikuwa anavaa groves lakini kishikana mikono na mtu lazima aende kunawa mikono hata kama katika siku anashikana mikono na watu kumi kwa kipindi tofautitofautiUyo ni mm kabisa
kiasi hata ndugu zangu wananichukia nikianza kupiga deki sitaki kumuona mtu kapitisha guu lake, yani wananijua ntanuna ntarudia sili sikuhiyo ntakavyonuna...
Halafu sipendi mtu asijue thamani ya nilichokifanya... unapokanyaga nilipodeki nakufokea hata ukiwa mkubwa kwangu... yani mm na mazingira mazingira na mm, mpaka wananiambiaga nyumbani kwako hatutakuja...
kwahiyo ni tatizo?kwa namna hiyo pia Michael Jackson nae alikuwa anavaa groves lakini kishikana mikono na mtu lazima aende kunawa mikono hata kama katika siku anashikana mikono na watu kumi kwa kipindi tofautitofauti
kama angenipa sababu ningepata mwangaMkuu Education Mentor kwa mjibu wa saikolojia uliyofundisha, huyu jamaa niliye-quite post yake ana tatizo lipi la kisaikolojia?
hahahahaahNi vyema angetufahamisha yeye kwanza ni aina gani ya ukichaa alionao
ni kweli dalili ya OCD.kwahiyo ni tatizo?
Sasa nawezaje kuitoa hiyo hali?Kama hinafikia kukupa tabu wewe au watu wanaokuzunguka ni dalili hiyo inapofika hatua ya kutokuwa sawa abnormality
Tunafananamm binafsi hainikeri. ila wanaoharibu ndio wananikera mpaka tunachukiana... kiukweli sipendi kabisa mazingira machafu machafu... ila ni katika mazingira ndio sana.... yani ukitaka tusielewane haribu mazingira yangu
Yaani mi nakasirikaga kweli mtu akiharibu nilichofanya,yan hua nataka pasivurugiwe,kama nimepanga vitu ndan mfano jikoni nimepanga vyombo vizuri mtu akija kuchukua chombo huku anavuruga vuruga ntakasirika sanaYani niko radhi kupiga deki hata mara 10 kama tu mazingira yatakua ndivyo sivyo nnavotaka, sasa hata nikiishi na mtu nataka aende kama nnavotaka... akienda sivyo naona kama naishi na mzigo fulani
yani mtu anaeharibu mazingira yangu namchukiaga kabisa...
[emoji23] [emoji23] hii tabia kumbe tunayo wengi,mi sa nyingine nikikaa peke angu naanza kujiuliza hivi hii ndo gubu au ni nini?Lakini najiona sina gubu ila wao ndo wana dharau nnachokifanyaUyo ni mm kabisa
kiasi hata ndugu zangu wananichukia nikianza kupiga deki sitaki kumuona mtu kapitisha guu lake, yani wananijua ntanuna ntarudia sili sikuhiyo ntakavyonuna...
Halafu sipendi mtu asijue thamani ya nilichokifanya... unapokanyaga nilipodeki nakufokea hata ukiwa mkubwa kwangu... yani mm na mazingira mazingira na mm, mpaka wananiambiaga nyumbani kwako hatutakuja...
kwakweli, afu siwezagi kujifake kuwa sijachukia,siwezi kabisa, au nijidanganye eti napaacha yani moyo utanisumbua ntaenda kusafisha tu.Tunafanana
mm najiulizaga hivi ni roho mbaya au[emoji23][emoji23][emoji23] nasema basi naacha maana ntashindwa kuishi na watu ,lakini wapi siwezi kufumbiaga macho[emoji23] [emoji23] hii tabia kumbe tunayo wengi,mi sa nyingine nikikaa peke angu naanza kujiuliza hivi hii ndo gubu au ni nini?Lakini najiona sina gubu ila wao ndo wana dharau nnachokifanya
Ni vyema angetufahamisha yeye kwanza ni aina gani ya ukichaa alionao
Unahitaji msaadaWengi wao ni wagonjwa kuliko hao wanaotaka kuwasaidia
Hiki ni kipindi hisia za mtoto zinaanza kutengenezeka hasa kwa mtu wa tofauti na jinsia mfano Baba na Binti ake, mama na wa Kiume......Hapo kwenye Oedipus Complex naona umeniacha! Unamaanisha hali ya kukosa upendo wa wazazi ndo Oedipus Complex au nimekuelewa vibaya?
zipo namna nyingi za kupona hali hiyo zinahitaji session ya counselingSasa nawezaje kuitoa hiyo hali?