Saikolojia: Ishara zinazoonesha wewe ni handsome/una mvuto wa kiume tofauti unavyodhani

Brigadier Isaac

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2021
Posts
495
Reaction score
1,436
Habari wana JF.

Leo katika pitapita zangu mtandaoni ni kakuta kisomo cha saikolojia kama kawaida nikaona nisiwe mchoyo acha nishare men wenzangu nao waonyeshe interest yao. kama ujuavyo men wengi tunakuwa ile ya kujichukulia poa yani mtu unajidharau unajiona kama vile hauvutii wanawake,hii kitu inapelekea baadhi ya wanaume kutanguliza pesa sana pale anapo approch ke ila tunasahau kwamba nao ke wanavutiwa na sisi.

Sasa nimekuja ishara ambazo zimehakikiwa na wanasayansi kwamba ukiziona zinatokea au zimewahi kutokea katika maisha yako ya kila siku,hakika wewe ni unavutia (handsome)bila ubishi.

1. Unaangaliwa sana, hivi umewahi kufuma watu au mtu wa jinsia yoyote ame makinika kukuangalia na pale unapomgekukia anakuwa anazuga labda kwa kukusalimia,kukupungia mkono au atakuambia amekufanananisha na mtu usiyemjua ,basi tambua unavutia.

2. Watu wa jinsia zote wanakuhuliza hili swali "una girlfriend/demu ? " Saikolojia inasema wanaumu wenye mvuto watu wengi wana amini wanakuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke fulani hata kama hana mpenzi. Basi kama umewahi kuhulizwa ili swali tambua wewe unavutia kuliko unavyofikiri

3. Wanawake wanakusikiliza kwa makini pale unapo ongea. Wanawake kisaikolojia wanamakinika na wanaume wanao vutia tofauti na wasiokuwa na mvuto.

4. Wanaume wenzako wanakuiga staili za maisha yako kama mavazi, n.k. umewahi kufika sehemu either ni ofisini una anza kuhisi wanaume wenzako wa hiyo office wana anza kucopy vitukama, unyoaji, mavazi,o ngea yako basi tambua wewe unavutia kwa sababu watu wanapenda kucopy kwa wanao vutia ili nao wavutie.

5. Ukimsifia mtu wa jinsia yoyote mtu huyo anakuwa shauku na furaha sana. Saikolojia inasema watu huwa na furaha zaidi pale wanaposifiwa na mtu mwenye mvuto zaidi yao.

6. Wanaume wenzako wanakuambia wanatamani wangekuwa wewe. Umewahi kusikia marafiki zako wanakuambia wanatamani kuwa kama wewe basi tambua unavutia kwa sababu watu wanatamani kuwa kama watu wanaovutia zaidi yao.

7. Hausifiwi sana. Wanasaikolojia wanasema watu wanauvutia hawasifiwi sana kwa sababu watu hudhani wameshasifiwa sana kwa hiyo hata wakiwasifia ni kama kazi bure .

8. Watu wanapenda kuwa karibu yako au wanajaribu kuanzisha mazungumzo kwa Salamu. Hii sio kwa sababu wewe ni mkarimu sio bali unavutia. Saikolojia inasema jinsia zote zinapenda kuwa na marafiki wanaovutia ili na wao wapate kuvutia kama hao mabest zao. Wanaume wenzako waliokuwa kwenye mahusiano wanaleta hali ya shari au visa Umewahi kuona baadhi ya wanaume wenzako wakutangazia chafu, wana kupiga majungu au kukuponda pale wanapokuwa na wanawake au wanakuchukia bila kosa tena wanakuwa kama wanataka ushindani juu ya kuwin mademu atakama wewe hauna mpango huo basi tambua wewe unavutia ndomana wanakuona wewe ni tishio kwa mahusiano yao.

Unashobokewa au unafatwa na mashoga.hivi umewahi kufatwa na shoga katika historia ya maisha yako kama ndio tambua unamvuto wa kiume tena inawezekana wanawake wengi wamevutiwa na kimapenzi na wewe sema walishindwa kukufuata kama wanavyo fanya mashoga. Hii kwa sababu wanasaikolojia wa mambo ya sex wanasema mashoga huvutiwa na wanaume wenye mvuto ulio katka hali ya kiume zaidi kama ilivyo kwa wanawake yani male sex attraction.

Watu wanadhani wewe utakuwa unapenda wanawake(womenizer).umuwahi kukutoke watu wanakushutumu wewe unapenda mademu(womenizer) hata kama una demu mmoja au hauna kabisa .hii kwa sababu watu hudhani wanaume wanao vutia wanakuwa na sifa ya kuwa na mademu.

Watoto wadogo hasa wakike wanakuchangamkia, hivi hata wadogo hupenda watu wanaovutia .. Hizo juu ndo ishara zenyewe basi ukiona hata moja imekubali basi tambua wewe unamvuto wa kiume (handsome) .

Sasa kama umekubali uzi toa sintofahamu ilowahi kukuta katika maisha na jinsi ulivyokuwa kipofu kuchuka chansi za kuopoa watoto wakali na kama hauna stori wewe gonga like tu
 
I’m far from handsome, but damn, a nigga tote!

That’s why niggas is mad I get more butt than ashtrays...
Tuletee tena screenshot zako za kumiliki Dola Million 4 hewa wakati mama anatembelea gari aliyoacha marehemu baba 😂😂😂😂

Kile kinyumba cha Mzee wako Survey ulibadilisha zile bati? Maana wapangaji walikuwa wanalalamika zinavuja
 
Juli tuletee tena screenshot zako za kumiliki Dola Million 4 hewa wakati mama anatembelea gari aliyoacha marehemu baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kile kinyumba cha Mzee wako Survey ulibadilisha zile bati? Maana wapangaji walikuwa wanalalamika zinavuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawahi amini km wapo mashoga wanao washobokea au kutongoza wanaume straight,

Huo muda wanautoa wapi? Km wapo kweli bas ni wale ambao hawana future yeyote ya kimaisha au wazee waliojichokea [emoji23][emoji23][emoji23].

Shoga smart na anayejitambua yupo buzzy kutafuta mahitaji ya kukidhi maisha yake tena kwa njia halali, na anakua na mwanaume m1 ambaye anatosheleza kwa kukidhi haja ya hisia zake ktk mwili,

Shoga anatakiwa atongozwe tena kwa heshima zote, mbona wanaume mabasha rijali na halisia wapo wengi tyuuh, sasa hao mashoga wanaoshobokea na kutongoza wanaume straight wanakwama wapi?
......
 
Unaweza ukawa unatazamwa ukazani unapendwa kumbe Wanashangaa hilo komwe lako na vibarango vyako kichwani!!!

Au unapita na gari lako wanakutizama unazani umewashitua kumbe wanakushangaa vile gari lako lilivyokaa kama kiberenge, vioo havipandi wala kushuka, Chini linagonga utazani umebeba kabati la vyombo!
 
Tafuta huu uzi ndo utaelewa condition nzima ilivo .mkuu ila tambua sihamasishi ushoga au watu wafanye ushoga hapana mimi naelezea Fact za saikolojia kama nilivyo soma .sijui umenielewa

Screenshot_20210410-090742.jpg
 
Sijawahi amini km wapo mashoga wanao washobokea au kutongoza wanaume straight,

Huo muda wanautoa wapi? Km wapo kweli bas ni wale ambao hawana future yeyote ya kimaisha au wazee waliojichokea [emoji23][emoji23][emoji23].

Shoga smart na anayejitambua yupo buzzy kutafuta mahitaji ya kukidhi maisha yake tena kwa njia halali, na anakua na mwanaume m1 ambaye anatosheleza kwa kukidhi haja ya hisia zake ktk mwili,

Shoga anatakiwa atongozwe tena kwa heshima zote, mbona wanaume mabasha rijali na halisia wapo wengi tyuuh, sasa hao mashoga wanaoshobokea na kutongoza wanaume straight wanakwama wapi?
......
Kwahiyo utafungua darasa na hizi ni notisi za kuanzia au?
 
Unaweza ukawa unatazamwa ukazani unapendwa kumbe Wanashangaa hilo komwe lako na vibarango vyako kichwani!!!

Au unapita na gari lako wanakutizama unazani umewashitua kumbe wanakushangaa vile gari lako lilivyokaa kama kiberenge, vioo havipandi wala kushuka, Chini linagonga utazani umebeba kabati la vyombo!
Unaweza ukawa unatazamwa ukazani unapendwa kumbe Wanashangaa hilo komwe lako na vibarango vyako kichwani!!!

Au unapita na gari lako wanakutizama unazani umewashitua kumbe wanakushangaa vile gari lako lilivyokaa kama kiberenge, vioo havipandi wala kushuka, Chini linagonga utazani umebeba kabati la vyombo!
Unaweza ukawa unatazamwa ukazani unapendwa kumbe Wanashangaa hilo komwe lako na vibarango vyako kichwani!!!

Au unapita na gari lako wanakutizama unazani umewashitua kumbe wanakushangaa vile gari lako lilivyokaa kama kiberenge, vioo havipandi wala kushuka, Chini linagonga utazani umebeba kabati la vyombo!
Hamna mkuu Eti wanakushangaa Sio kweli mara nyingi watu wanakuona unavutia au watofauti wa kipekee yani unamvuto hata kama sijui unanini waweza kuona unavutia maana kila mtu ana uonaji wake wa tofauti
 
Sijawahi amini km wapo mashoga wanao washobokea au kutongoza wanaume straight,

Huo muda wanautoa wapi? Km wapo kweli bas ni wale ambao hawana future yeyote ya kimaisha au wazee waliojichokea [emoji23][emoji23][emoji23].

Shoga smart na anayejitambua yupo buzzy kutafuta mahitaji ya kukidhi maisha yake tena kwa njia halali, na anakua na mwanaume m1 ambaye anatosheleza kwa kukidhi haja ya hisia zake ktk mwili,

Shoga anatakiwa atongozwe tena kwa heshima zote, mbona wanaume mabasha rijali na halisia wapo wengi tyuuh, sasa hao mashoga wanaoshobokea na kutongoza wanaume straight wanakwama wapi?
......
Eeeh
 
Juli tuletee tena screenshot zako za kumiliki Dola Million 4 hewa wakati mama anatembelea gari aliyoacha marehemu baba 😂😂😂😂

Kile kinyumba cha Mzee wako Survey ulibadilisha zile bati? Maana wapangaji walikuwa wanalalamika zinavuja
🙄
 
Sijawahi amini km wapo mashoga wanao washobokea au kutongoza wanaume straight,

Huo muda wanautoa wapi? Km wapo kweli bas ni wale ambao hawana future yeyote ya kimaisha au wazee waliojichokea [emoji23][emoji23][emoji23].

Shoga smart na anayejitambua yupo buzzy kutafuta mahitaji ya kukidhi maisha yake tena kwa njia halali, na anakua na mwanaume m1 ambaye anatosheleza kwa kukidhi haja ya hisia zake ktk mwili,

Shoga anatakiwa atongozwe tena kwa heshima zote, mbona wanaume mabasha rijali na halisia wapo wengi tyuuh, sasa hao mashoga wanaoshobokea na kutongoza wanaume straight wanakwama wapi?
......
are you gay?
 
Hali hizi zinanitokea sana mkuu. Sema kitu kimoja ambacho nimejaliwa ni kutokuwa na muda na mademu, unakuta wengine huko job wananialika dinner au breakfast sometimes nakataa!!

Mkipiga story tu kidogo kuhusu mapenzi nakutanaga na neno wewe April26 inaonekana unapenda sana mademu na unao wengi eti eee!!!! Yani kama wanapeleleza fulani hivi!

Mtaani nakoishi kuna mwanamke mmoja ameolewa kuna siku aliniambia April26 naomba unachompaga demu wako basi ,,,daaah nilishangaa baada ya kumalizia kwamba nina mwili wa mapenzi dem wangu atakuwa anafaidi.

Kiukweli nimeona ishara nyingi ulizotaja, kuna uzi niliwahi kuandika kwenye timeline yangu kuwa napendwa na mademu watu wakanibeza wengine kutukana na wengine wachache walinielewa.

Ahsante mtoa uzi najikubali mvuto ni mapenzi ya Mungu hivo nafurahia kuwa hivo japo naamini SITA MVUTIA KILA MTU.
 
Back
Top Bottom