Saikolojia na Uwezo mkubwa wa Kufikiri; Nguzo muhimu katika intelijensia ya maisha ya kila siku

Mshua's

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2013
Posts
804
Reaction score
553
Habarizenu wakuu!

Leonimekuja na mada hii ili tuweze kuijadili na tupate ukweli utakao tusaidiakutujenga wana JF hasa katika jukwaa hili la intelijensia.

Katikamaisha ya kila siku, kuna changamoto mbalimbali zinazotokana na jinsi binadamuanavyoingiliana baina yake na jamii inayomzunguka. Nimekuwa nikitafakari namnaya kukabiliana na changamoto hizi nikabaini kuwa “Saikolojia na uwezo mkubwa wa Kufikiri” ndiyo mihimili pekee inayowezakukabiliana na changamoto hizi. Ukiwa na misingi imara ya nguzo hizi, zitakuwezeshakung’amua na kutoa maamuzi sahihi katika changamoto mbalimbali zinazotokana namuingiliano wa mwanadamu na maisha yake kwa ujumla.

Lengola kuwashirikisha katika mada hii, ni kutaka kujua mbinu zinazowezakumtambulisha mwanadamu kama anaongea ‘Ukweli’au ‘Uongo’ kutokana na muonekanowake mnapokuwa mkiongea naye (Facial Expressions). Binafsi, nimeona Saikolojiana uwezo mkubwa wa kufikiri ndiyo nguzo muhimu katika intelijensia ya maisha yakila siku. Hivyo basi, nakaribisha majadiliano ili tuweze kuzifafanua kwa kinanguzo hizi pia tuongezee katika hizi nilizozitaja kwa lengo la kuboresha kwamanufaa ya wote.

Mimisi mwanasaikolojia na pia si mwanaintelijensia na niliyoyaandika hapa ni mawazoya kufikirika tu. Mawazo haya hayajanukuliwa kutoka chanzo chochote cha habarina yanaweza kuwa yamekosewa kwa namna moja au nyingine, basi yanaweza kurekebishwakwa kadri ya ufahamu wenu ili tuweze kupata mawazo sahihi yatakavyokubalika nawachangiaji wengine.

Saikolojianinayoizungumzia hapa, ni ile ya utambuzi wa mawazo ya binadamu kwa wakati huomnapokuwa mnawasiliana. Saikolojia hii ni ile inayowezesha kumtambua binadamukuwa anawaza nini kwa wakati huo mnapowasiliana. Hii inawezakuwa mavazi yake,jinsi anavyoongea, na muonekano wake kwa ujumla. Kwa mfano, kutambua kamaanadanganya au anasema ukweli kulingana na jambo mnalo zungumzia kwa wakati huoinaweza kudhihirishwa na aidha kuangalia pembeni, kupepesa kope mara nyingi,kutokuwianisha maongezi yake ya awali na maongezi anayoendelea kuongea, n.k.

Uwezowa kufikiri ninaouzungumzia katika mada hii, ni ule uwezo wa kufikiri nakutafakari jambo husika kwa mapana yake ambao humuwezesha muhusika kubaini aidhajambo hilo lina madhara au linajenga kulingana na hali iliyopo. Kwa mfano,“wewe unaishi Gongolamboto na kazi unafanyia Masaki, siku moja upo ofisinijirani yako ambaye huwa mnawasiliana naye kila siku unapokuwa nyumbani, amekujaofisini kwako anaomba msaada wa pesa, hujawahi kumtamkia ni kazi gani unafanya nani wapi unafanyia kazi”.

Hapani lazima “kwa nini?” zitakuwa nyingi! Maswali ya kujiuliza hapa ni kama vile,amejuaje kama nafanyia kazi Masaki? Nani kamuelekeza hapa ofisini kwangu? Je,mimi ndiyo ameona ninauwezo wa kumsaidia kiasi hicho cha pesa? Hivi ni kweliamekuja kuomba pesa au kuna jambo lingine nyuma ya pazia amekuja kulichunguza?n.k.

Wanasaikolojia na wengine wote wenye ufahamu na jambo hili mnakaribishwakwa mjadala!

Nawasilisha,

Mshua!
 
Habari zenu wakuu!

Inawezekana uzi huu haujaeleweka vizuri ndiyo maana wadau wameshindwa kuchangia chochote?

Pengine ni mambo ambayo watu huwa hawana time nayo na walisha yachukulia kama mambo ya kawaida?

Au siku hizi hadi utaje majina ya wadau unaopenda wachangie hoja ndipo wadau wengine wachangie? Nashindwa kuelewa!

Kwa ufupi tu nilichokuwa naomba kufahamu ni kuwa 'nitamtambuaje mtu kama anasema UKWELI au UONGO kulingana na jambo lililopo au linalo ongelewa?

Wakuu hii ni sehemu ya kazi yangu ya kila siku ambayo inahitaji kumtambua mtu endapo anasema uongo au ukweli kulingana na jambo husika.

Once again I submit with regards

Mshua!
 
kila jambo hapa duniani lipo kwa muda na kwa sababu zake...na mara nyingi binadamu tulio wengi tunashindwa kutafuta zile sababu ambazo zimesababisha jambo flani litokee,zile zile zinazoonekana ama zile zinazoweza kuoneshwa kwa mbadala wake na mara nyingi hapa tunazungumzia,jinsi ya kujua msukumo wa kufanya jambo flani liwe ni hasi au ni chanya.....nadhani hii pia itaamsha mawazo mapya
 
Mada yako ni nzuri, ila sio saikologia. Kufikiri sio saikologia. Kufikiri tena kufikiri sahihi ndio kila kitu.
 
Nadhani si saikologia inayofanya pasee lakini ni kama kipaji ama maono ambayo kila mwanadamu hupendi kuyatumia ili kufikia kufikiri vizuri
 
Habarizenu wakuu!

Leonimekuja na mada hii ili tuweze kuijadili na tupate ukweli utakao tusaidiakutujenga wana JF hasa katika jukwaa hili la intelijensia.

Katikamaisha ya kila siku, kuna changamoto mbalimbali zinazotokana na jinsi binadamuanavyoingiliana baina yake na jamii inayomzunguka. Nimekuwa nikitafakari namnaya kukabiliana na changamoto hizi nikabaini kuwa “Saikolojia na uwezo mkubwa wa Kufikiri” ndiyo mihimili pekee inayowezakukabiliana na changamoto hizi. Ukiwa na misingi imara ya nguzo hizi, zitakuwezeshakung’amua na kutoa maamuzi sahihi katika changamoto mbalimbali zinazotokana namuingiliano wa mwanadamu na maisha yake kwa ujumla.

Lengola kuwashirikisha katika mada hii, ni kutaka kujua mbinu zinazowezakumtambulisha mwanadamu kama anaongea ‘Ukweli’au ‘Uongo’ kutokana na muonekanowake mnapokuwa mkiongea naye (Facial Expressions). Binafsi, nimeona Saikolojiana uwezo mkubwa wa kufikiri ndiyo nguzo muhimu katika intelijensia ya maisha yakila siku. Hivyo basi, nakaribisha majadiliano ili tuweze kuzifafanua kwa kinanguzo hizi pia tuongezee katika hizi nilizozitaja kwa lengo la kuboresha kwamanufaa ya wote.

Mimisi mwanasaikolojia na pia si mwanaintelijensia na niliyoyaandika hapa ni mawazoya kufikirika tu. Mawazo haya hayajanukuliwa kutoka chanzo chochote cha habarina yanaweza kuwa yamekosewa kwa namna moja au nyingine, basi yanaweza kurekebishwakwa kadri ya ufahamu wenu ili tuweze kupata mawazo sahihi yatakavyokubalika nawachangiaji wengine.

Saikolojianinayoizungumzia hapa, ni ile ya utambuzi wa mawazo ya binadamu kwa wakati huomnapokuwa mnawasiliana. Saikolojia hii ni ile inayowezesha kumtambua binadamukuwa anawaza nini kwa wakati huo mnapowasiliana. Hii inawezakuwa mavazi yake,jinsi anavyoongea, na muonekano wake kwa ujumla. Kwa mfano, kutambua kamaanadanganya au anasema ukweli kulingana na jambo mnalo zungumzia kwa wakati huoinaweza kudhihirishwa na aidha kuangalia pembeni, kupepesa kope mara nyingi,kutokuwianisha maongezi yake ya awali na maongezi anayoendelea kuongea, n.k.

Uwezowa kufikiri ninaouzungumzia katika mada hii, ni ule uwezo wa kufikiri nakutafakari jambo husika kwa mapana yake ambao humuwezesha muhusika kubaini aidhajambo hilo lina madhara au linajenga kulingana na hali iliyopo. Kwa mfano,“wewe unaishi Gongolamboto na kazi unafanyia Masaki, siku moja upo ofisinijirani yako ambaye huwa mnawasiliana naye kila siku unapokuwa nyumbani, amekujaofisini kwako anaomba msaada wa pesa, hujawahi kumtamkia ni kazi gani unafanya nani wapi unafanyia kazi”.

Hapani lazima “kwa nini?” zitakuwa nyingi! Maswali ya kujiuliza hapa ni kama vile,amejuaje kama nafanyia kazi Masaki? Nani kamuelekeza hapa ofisini kwangu? Je,mimi ndiyo ameona ninauwezo wa kumsaidia kiasi hicho cha pesa? Hivi ni kweliamekuja kuomba pesa au kuna jambo lingine nyuma ya pazia amekuja kulichunguza?n.k.

Wanasaikolojia na wengine wote wenye ufahamu na jambo hili mnakaribishwakwa mjadala!

Nawasilisha,

Mshua!

Kumtambua mtu muongo akiongea mwangalie kwa umakini sana na yarikodi mazungumzo yake anayoongea mara zote utamuona na dalili hizi anaongea na kufikiri kwa pamoja. Akimaliza kuongea muulize maswali ya kimaarifa kwa ambayo yanalenga sana kupata ufafanuzi wa maneno yake aliyoongea hapo hapo mara zote akifafanua huwa ufafanuzi wake hauwezi kutoa maana halisi ya kile alichoongea mwanzo. Jaribu kumuuliza maswali zaidi ya 10 ukionaa kuanzia swali la nne na kuendelea huwa anasita kujibu moja moja mpaka afikirie ufahamu huyo anaunda sentensi za kuongea kwa hizo dakika alizosita.
Kadiri ukiona anasita sita nawe ongeza maswali zaidi kisha piga tathmin ya majibu yake ukiona kavuruga maelezo yake ya mwanzo ujue ukijaribu kumpa kile atakacho imekula kwako.
Kazi kwako
 
Habarizenu wakuu!

Leonimekuja na mada hii ili tuweze kuijadili na tupate ukweli utakao tusaidiakutujenga wana JF hasa katika jukwaa hili la intelijensia.

Katikamaisha ya kila siku, kuna changamoto mbalimbali zinazotokana na jinsi binadamuanavyoingiliana baina yake na jamii inayomzunguka. Nimekuwa nikitafakari namnaya kukabiliana na changamoto hizi nikabaini kuwa “Saikolojia na uwezo mkubwa wa Kufikiri” ndiyo mihimili pekee inayowezakukabiliana na changamoto hizi. Ukiwa na misingi imara ya nguzo hizi, zitakuwezeshakung’amua na kutoa maamuzi sahihi katika changamoto mbalimbali zinazotokana namuingiliano wa mwanadamu na maisha yake kwa ujumla.

Lengola kuwashirikisha katika mada hii, ni kutaka kujua mbinu zinazowezakumtambulisha mwanadamu kama anaongea ‘Ukweli’au ‘Uongo’ kutokana na muonekanowake mnapokuwa mkiongea naye (Facial Expressions). Binafsi, nimeona Saikolojiana uwezo mkubwa wa kufikiri ndiyo nguzo muhimu katika intelijensia ya maisha yakila siku. Hivyo basi, nakaribisha majadiliano ili tuweze kuzifafanua kwa kinanguzo hizi pia tuongezee katika hizi nilizozitaja kwa lengo la kuboresha kwamanufaa ya wote.

Mimisi mwanasaikolojia na pia si mwanaintelijensia na niliyoyaandika hapa ni mawazoya kufikirika tu. Mawazo haya hayajanukuliwa kutoka chanzo chochote cha habarina yanaweza kuwa yamekosewa kwa namna moja au nyingine, basi yanaweza kurekebishwakwa kadri ya ufahamu wenu ili tuweze kupata mawazo sahihi yatakavyokubalika nawachangiaji wengine.

Saikolojianinayoizungumzia hapa, ni ile ya utambuzi wa mawazo ya binadamu kwa wakati huomnapokuwa mnawasiliana. Saikolojia hii ni ile inayowezesha kumtambua binadamukuwa anawaza nini kwa wakati huo mnapowasiliana. Hii inawezakuwa mavazi yake,jinsi anavyoongea, na muonekano wake kwa ujumla. Kwa mfano, kutambua kamaanadanganya au anasema ukweli kulingana na jambo mnalo zungumzia kwa wakati huoinaweza kudhihirishwa na aidha kuangalia pembeni, kupepesa kope mara nyingi,kutokuwianisha maongezi yake ya awali na maongezi anayoendelea kuongea, n.k.

Uwezowa kufikiri ninaouzungumzia katika mada hii, ni ule uwezo wa kufikiri nakutafakari jambo husika kwa mapana yake ambao humuwezesha muhusika kubaini aidhajambo hilo lina madhara au linajenga kulingana na hali iliyopo. Kwa mfano,“wewe unaishi Gongolamboto na kazi unafanyia Masaki, siku moja upo ofisinijirani yako ambaye huwa mnawasiliana naye kila siku unapokuwa nyumbani, amekujaofisini kwako anaomba msaada wa pesa, hujawahi kumtamkia ni kazi gani unafanya nani wapi unafanyia kazi”.

Hapani lazima “kwa nini?” zitakuwa nyingi! Maswali ya kujiuliza hapa ni kama vile,amejuaje kama nafanyia kazi Masaki? Nani kamuelekeza hapa ofisini kwangu? Je,mimi ndiyo ameona ninauwezo wa kumsaidia kiasi hicho cha pesa? Hivi ni kweliamekuja kuomba pesa au kuna jambo lingine nyuma ya pazia amekuja kulichunguza?n.k.

Wanasaikolojia na wengine wote wenye ufahamu na jambo hili mnakaribishwakwa mjadala!

Nawasilisha,

Mshua!

Mkuu umeongea mambo sensitive sana ila hapa Tanzania sisi tuliosoma degree za psychology serikal na jamii kwa ujumla hawajui kama tuna mchango katika issue za intellegence wanatuacha tu hahahahaa ila for sure psychology ni somo zuri sana
 
Hiyo elimu yenu nchi za mbele wanavuta dola kwa dakika za mazungumzo. Hizi nchi zetu matatizo ya kisaikolojia wanayachukulia poa. Tuna ndoa zinavunjika kipuuzi kabisa. Waajiri wanaendesha kampuni na mashirika bila kujali saikolojia za waajiriwa. Ni ShiDa
 
Back
Top Bottom