Saikolojia: Namna ya kutambua tabia ya mtu

Baada ya kupitia post zangu zote nilizowahi kuweka katika jamvi la JF, nimefanikiwa kujitambua nipo Kundi lipi.
 
Ni kweli wewe kundi lingine mojawapo kati ya haya: kigeugeu ,mnafiki au ndumilakuwili nashukuru wewe si rafiki yetu!
 
:smiling:dah.utafikiri jamaa ananifahamu vile.yani mule mule asilimia mia ndivyo nilivyo.nimebaki nacheka tu peke yangu.s
aikolojia tamu kwakweli.mtu wa pili mie!!!!!1
 
ni afadhali uwe charming na melankoli,kuliko kuwa mpole, jamani wapole ni watu wabaya wakikasirika tena wanaweza kuua mtu kabisa mm sijui niko kundi gani bado sijajitafiti ngoja nijjitafiti nijue niko wapi
 
tunashukuru mkuu kwa saikolojia yako tamu,mm bila unafki nipo kundi la kwanza,nilipokuwa nasoma nilifikiri unanifahamu vilivyo ndo ukaja kuandika humu,we mkali mkuu nimeipenda hiyo,Mungu akubarike sana
 
human behaviour is very complex to explain n understand it.[/QUOTE]

Agreed, its not that easy to conclude somebody's behavior just using some signals!
 
To a greater percentage, most of human beings fall under the two categories,the psychologist does not restrict or put any limitation to the two above as a person may share the two stipulated behaviours 50@ . Kwa hiyo kama huegemei moja kwa moja moja wapo ya hizo basi wewe utakuwa umechota kidogo pande moja lakini kwa sehemu kubwa moja inakuhusu zaidi hata kama utaificha!!

Hii analysis ni ya kisayansi sana mkuu na nakupa big up sana kwa hii post maana hapa kazini tunao watu wa dizaini hii na nilipowasomea watu post hii kila mtu aliweza kujua nani anaangukia wapi!! Shukrani sana mkuu!!!!
 
 
Mayenga mtu anayepretend mara nyingi hupenda kusikiliza bila kuchangia mada! Ili mradi asome mazingira, lkn kama ikitokea mada imerudiwa bac atashiriki ipasavyo.
 
Ahsante, MziziMkavu namm nimejitambua nipo kundi gani,.Kwa kawaida, saikolojia inaangukia kwenye imani kuwa mtu anazaliwa akiwa mkamilifu lakini anapokua hubadilika polepole na wakati mwingine si rahisi kubadili tabia zake. Mungu pekee ndiye anaweza kumbadili yeyote.Nina amini kuwa unaweza kutumia tabia yako ya asili kwa faida yako na kuwa zawadi kwa wengine.Ustaarabu wako unaweza kukusaidia kubadilishana mawazo, kipaji na matarajio ya wenzako. Ni vizuri kwa mtu kuwa mstaarabu kujithamini mwenyewe uwezo wake na upungufu wake ili aweze kujirekebisha palipo na kasoro.
 
naaaam nazani umenilenga mwenyewe apa nafasi hiyo ya pili.......!!!!!
 

Bruce Lee, Nisamehe kwa Nitakayoyasema, najaribu tu kuchangia thread na sina nia mbaya.
Wewe tabia yako inaeleweka kwa sababu hauko peke yako
Kuna mawili;
Tabia yako ni modified au wengine huita kuvaa mask, yaani
una tabia ya kutengeneza kutokana na elimu, Uoga, ufahamu wa maisha, kuiga au kulazimika ujiweke hivyo kutokana na hali fulani.
Pili, wewe inawezekana uko katika kundi la wakimya walio hivyo kutokana na kuumia, machungu, visasi au vitu vyenye asili hiyo kutokana na historia ya maisha uliyopitia kama ndugu, marafiki, wazazi waonevu. Pia inawezekana ni kutokana na kutoishi na mzazi wa kiume/kike vizuri au kwa namna ambayo familia inatakiwa iishi. Nina maana kuwa kuwa inawezekana hukuishi vizuri na Baba yako Mzazi/mama yako, umeishi na Baba wa kambo au umeishi na ndugu waliokuwa wanakukandamiza.
Kingine ni matatizo ya kiafya yanayokufanya usiweze kuvumilia stress au presha ya aina fulani.
Jichunguze kama haumo humu.
 
Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya Mpole na Mkimya. Watu wengi wanapo mwona mtu mkimya wanamwita mpole, hao ni wau wawili tofauti.
Tofauti yao nini ndugu maana hata mm nilidhani mtu mkimya ndo mtu mpole , sasa tofauti ni ipi kati ya mkiya na mpole na tabia zao huwa zinkuweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…