Saikolojia: Sababu zinazosababisha magonjwa ya akili ambazo wengi hawafahamu. (psychological disorder)

Ahsante Mkuu. Maelezo mujarabu
 
nikuji control tu maana kuna baadhi ya makosa ambayo nimeyafanya ni ngumu kujisamehe na inafika mahali nikiyakumbuka roho inaniuma sanaa mpaka natamani hata kijua lakini naji control nachuka kamtungi changu nina steam weed kichwa kina kaa sawa tu
 
Nalifanyia kazi
 
Pole sana.....ila suluhisho ulilolifanya hauta tatua changamoto hiyo.
 
Mleta mada ulilosema kuhusu kusali ni kweli aisee hata ukiwa na stress kubwa kuhudhuria ibada kuna kupa moyo, unasamehe mana maradhi ya wengi nikuweka watu mioyoni nakukosa peace of mind. Ila kusali kumenisaidia sana na nimeacha hata tabia za hasira, nimekuwa na utu wema
 
Pole sana.....ila suluhisho ulilolifanya hauta tatua changamoto hiyo.
ila inasaidia kuniliwaza kidogo lasiihivyo ningeshajiuaga siku nyingi tu..maana sizani kama kunasuluhisho la makosa niliyoyafanya zaidi kufa na kuiacha hii dunia
 
ni kweli na tafiti zinadhibitisha hilo
 
Niulize hili swali, Unapokuwa mgonjwa wa akili huwa unajifahamu unayofanya,unayosema lakini huwezi kujizuia?

Kwakua kuna rafiki yangu aliumwa lakini akapata matibabu akasema kila kitu alichokuwa anafanya na aliyosema anayajua lakin alikua hawezi kujizuia. Naomba jibu mleta uzi hu
 
Wapo wanajielewa kuna kitu hakipo sawa katika akili zao hasa muda ambao akili hurudi sawa na hutafuta msaada lakini wapo pia wasiojielewa na hapa Afrika kumuambia mtu ana tatizo kama Hilo kama yeye hakutambua ni kama unamtukana
 
nikuji control tu maana kuna baadhi ya makosa ambayo nimeyafanya ni ngumu kujisamehe na inafika mahali nikiyakumbuka roho inaniuma sanaa mpaka natamani hata kijua lakini naji control nachuka kamtungi changu nina steam weed kichwa kina kaa sawa tu
Unakimbia uhalisia,tafuta mtaalamu wa saikolojia wa karibu nawe upate msaada mapema Mkuu.
 
ila inasaidia kuniliwaza kidogo lasiihivyo ningeshajiuaga siku nyingi tu..maana sizani kama kunasuluhisho la makosa niliyoyafanya zaidi kufa na kuiacha hii dunia
Pole sana..Njia nzuri ya kutatua hatia inayokusumbua nikufunguka tu hupate msaada..kuendelea kukataa uhalisia sababu tyr huwezi kulifuta sababu limetokea tyr haitakusaidia...lkn kuishi ktk fikra mpya ni uchaguzi wako.
 
mkuu sio rahisi kama unavyofikiria ....ni ngumu sana kutoka kichwani,ukiskia mtu kajiua usimuone mjinga...pengine amefanya maamuzi sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…