Saikolojia: Sababu zinazosababisha magonjwa ya akili ambazo wengi hawafahamu. (psychological disorder)

Saikoloji! Naikubali sana kuna mda unawezahisi unazungumziwa wewe
 
mkuu sio rahisi kama unavyofikiria ....ni ngumu sana kutoka kichwani,ukiskia mtu kajiua usimuone mjinga...pengine amefanya maamuzi sahihi
Kujiua haijawahi kuwa na haitatokea hata siku moja kuwa ni maamuzi sahihi.Usikae na vitu moyoni;tafuta msiri wake japo umuhusishe katika hayo mambo yako kwa uchache!

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
nimejifunza kitu... Asante mkuu...!!
 
Kwa wasomaji wa Makala zangu ninafikiria kuwashirikisha katika kuuliza maswali mbali mbali ya Saikolojia na Mimi nitayajibu kwa kuyaandikia makala unaweza niuliza PM au hata hapa kawaida
Kama ukianza pia kunifollow utanisaidia kukufikia kwa urahisi.......Usiku mwema
 
pole ndg, kujijua na kujikubali ni hatua kubwa sana kwenye uponyaji. Mungu akutie nguvu
 
Karibuni wasomaji wapya.......Pia utaweza soma zaidi makala nyingine nyingi nazoandika kupitia Gazeti la upendo kila Jumapili....asanteni
 
Umeandik vitu kuntu sana mkuu... wengi wetu ni wahanga wa haya matatizo lakini denial disorder ni kubwa zaidi ndo mana hatuelewi kama tunayo
 
Chakula adimu kukipata, asante kwa elimu uliyoleta hapa jukwaani.
 
Mkuu hongera sana, itakuwa sasahiv upo strong enough to overcome emotional traits
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…