Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Kuna muda anapenda mpaka umdanganye, ukimwaambia ukwel humpati. Unaona kabisa yani.
kuna muda inakulazimu ujishushe chini yake mradi tu msikae class moja ili a feel he has the final say ndio umpate. Hapa sasa ndio ile hata kama wewe ni Director wa kampuni A, maadam na yeye ni Director au chin ya hapo, unajikuta unazimika ku lower your standards mkiwa katika meza ya mazungumzo ili biashara ifanyike.
kuna muda mteja ili biashara ifanyike, unaona kabisa lazima u brag some issues, lazima ujipandishe hadhi ili kufikia hadhi yake ili ku gain trust. Hapa ndio unajkuta unalazimika kuweka mazungumzo fla ya kukuonyesha nawe una gari una kunywa pombe au na wewe ni mtu wa madem sana. Hii yote ni ili kujiweka kwenye class moja na yeye akuamini mfanye biashara.
Kuna siku nilichelewa kidogo kikao, nikamwambia jamaa (baada ya kumsoma) kwamba jama nililewa sana nikagongesha gari yangu bar. Bas jamaa akacheka sana halaf akawa happy kinoma hakuleta noma kabisa maana nilimsoma mamaa ni chapombe. Kumbe ubavu wa kusafir na private car mpaka mkoani mi sina nklipanda tu basi na hata pombe sijawahi onja.
Kuna muda unatakiwa na unalazimika kujua mambo mengi sana social ili ku dive kwenye kola upande wa mazungumzo anaokupeleka. Maana mazungumzo mengine ya biashara huwa yanaanziaga mbali sana, wateja wengine wana hali flan ya kuzungumza mambo serious katika mazingira au namna ambayo sio serious sanaaa. Humo humo mara zimeingia stori za soka mara siasa mara ishu wasanii na kadhalika.
Na unaona kabisa kabisa ukiwa serious kukomaa kwenye mada ya msingi ilio mezan mmalize biashara anakereka, yan biashara mazungumzo yake yanakua ya ingia toka ingia toka. Hivyo hapa unajikuta unalazima kuwa mjuzi wa mambo meengi tofauti tofauti maana unakutana na wateja wa namna tofauti tofauti, akileta ishu za Israel na Iran basi atleast uwe na abcs , akileta soka uwe unajua etc. Na namna hii ya mteja , unapozungumza nae unatakiwa kuwa na memory sharp sana ya kujua ni wapi mazungumzo yalikatia zikaingia stori ili unaporud usiwe ujui cha kuongea.
kuna muda unaona kabisa mteja hapendi kuongea na wewe japo service yako unaona anaihitaji. Kwa kuijua saikolojia yake mteja wa namna hii unampa mrembo wa kumuhudumia, either kumjulia hali katika matumiz ya huduma au kutuma invoice za madai, hapo utaona hata huduma ambayo alipaswa kuilipia 50k, anaweza kulipa hata 100k. Kuna mteja mwingine ukimpa msichana amuhudumie anaona umemdharau.
kuna mteja mwingine unaona kabisa, mbali na kuwa kwenye makabaliano ya kibiashara anafurahi zaidi unapo entertain personal relation ship nje ya biashara. Aki post status, unapo view na comment anafurah sana,na hata invoices zako anazi process fasta. Kuna mteja mwingine mkishaingia terms za kufanya kazi hapendelei kabisaa kumchek chek au kumpigia simu kumuuliza uliza "unaendeleaje au unaionaje huduma yetu" anachukia kabisa unaona reactions zake as live una invade privacy yake. Huyu akiwa na shida atakuchek , ukim sort ana mute, ukifika muda wa kulipa hana tabu. Hapend text text wale calls zisizo na msingi.
Kuna mteja alinikataa mwaka juzi ila mwaka huu kakubali kwa bei mara 2 zaid ya ile ya kwanza. Kisa? This time around wasichana ndio walimu approach😂.
Wateja wana saikolojia flan hiv very funny. Sema ukiwajua hawakupi shida kila mmoja unacheza naye kwa namna alivyo.
Hapa sasa ndio unapaswa kuwa mtu very skillful kumudu kuwa na flexible character ili uweze ku survive biashara isife.
Ni hayo tu