WANASEMA BIASHARA itembezwayo ndio itokayo.
wasichana siku hizi hawatongozwi, wengi wa vijana wanatafuta walio na umri mkubwa zaidi yao. sasa wasipovua nguo watawakamatia wapi?
Ule msimu wa kuchipua hatimaye umeanza kwa wabeba maboksi. Hivyo jua limeanza kutoka na kuifanya hali ya hewa isiwe ya baridi. Mabinti nao wameanza kuvaa nguo fupi kupita kiasi. Ukiwaona mitaani utadhani hawakuwepo wakati wa msimu wa kipupwe. Swali la kujiuliza ni nini hasa saikolojia inayofanya wanawake wa rangi zote wavae nguo fupi kiasi hiki? Je, ni fasheni? Au ni kwa ajili ya kuvutia macho ya wanaume? Pengine ni raha na uhuru mwili ukiwa wazi?
hivi na sisi wanaume tukiamua kuvaa nguo fupi let say vipensi vidogovidogo vya jinsi vinavyoishia kwenye mapaja na nguo za juu zimekatwa mabegani enzi hizo zilikuwa zinaitwa carwash, tutakuwa tunawavutia akinadada?
Hawajafika safari zao hao! Bado wanafikiri watapata wengine wenye sifa bora kuliko walizonazo watu wao wa sasa! Wanaofika hujituliza na kufanya yahusuyo bwana wake ili aendelee kuwa nae!hii ni hata kwa wale ambao tayari wana maboifurendi, wachumba na hata walioolewa, yaani ni vikaputula, vigauni na visketi vifupi (vimini micro) kwa kwenda mbele tena wengine wanavaa hivyo vimini na viatu vya mchuchumio na kutembea navyo kwa swaga la nguvu - na kuna wanaojilaza tu kwenye majani wanaota jua! Au ni mambo ya kuringishiana doli doli?
kuna watu wanapendeza na nguo fupi bwana hawana mawazo ya kutamanisha watu
hivi na sisi wanaume tukiamua kuvaa nguo fupi let say vipensi vidogovidogo vya jinsi vinavyoishia kwenye mapaja na nguo za juu zimekatwa mabegani enzi hizo zilikuwa zinaitwa carwash, tutakuwa tunawavutia akinadada?
joto lote hili mnataka wavae masweta
Swali la kujiuliza ni nini hasa saikolojia inayofanya wanawake wa rangi zote wavae nguo fupi kiasi hiki? Je, ni fasheni? Au ni kwa ajili ya kuvutia macho ya wanaume? Pengine ni raha na uhuru mwili ukiwa wazi?