Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Rais wa Mabeba Maboksi, niliongea nao wanasema wanavaa bila dhamira yoyote ya kumtega mtu ila sielewi kwa nini huwa wanazivuta chini zikipanda kupita kiasi
NN, ukivaa short kwenda kutembea, unapanga kumvutia mtu? I don't think so. Unavaa sababu your mood of the moments tells you to dress like that. Basi nadhani wanawake wengi wanao vaa nguo za wazi often wanavaa with that same mood. When it is hot and sunny just after winter, the only thing girls want is to wear that little short they bought few weeks ago (but could not wear because of the weather) and walk/run in the sun... Attracting boys is part of the summer package, they don't have to make it a goal of its own.Inawezekana wapo kweli wanaovaa bila dhamira yoyote ya kumtega au kumvutia mtu, ila pia wanaovaa kwa dhamira hizo wapo na ni wengi tu.
Mtu avae sleeveless sundress bila underskirt yoyote halafu kifuani maziwa yamefunikwa kiduchu (huku robo tatu nzima ikionekana)....kweli atasema hakudhamiria kuvutia nadhari kutoka kwa watu halafu ategemee tumuamini? No way Jose!
NN, ukivaa short kwenda kutembea, unapanga kumvutia mtu?
utavutia mkuu...Well, inategemea na unaenda kutembea wapi. Kama unaenda kutembea by the lake au Hammond Park (where the ballers go hang out :redface🙂 huku umevaa daisy dukes na sports bra halafu chini umetupia K-Swiss halafu ki iPod nano chako umekibania kwenye hiyo sports bra yako.....unadhani hutavutia watu?
lazima.Hususan ukiwa unajua hilo eneo unaloenda kutembea lina watu wa aina gani na si mara yako ya kwanza kwenda...ni lazima uta draw attention.
kumbe? poleni, tutabadili mwenendoWewe ni member wa health club yoyote? If so wadada huwa wanavaaje? Manake health clubs nizijuazo mimi ni balaa. Tena wale wadada ambao wamejaaliwa usafiri ndio huwaga wanafanya makusudi kabisa mpaka mtu unashindwa ku concentrate.
Sikujua, thanks for the infoNa kama ulikuwa hujui gyms ni moja ya prime places ambazo watu hukutana na kuishia kuanza mahusiano ya kimahaba. Kwa hiyo inawezekana kabisa wapo wadada ambao huwaga hawana malengo ya kuvutia wanaume lakini ambao wana malengo hayo nao wapo wengi tu.
I am sorry about this. Are you taking anything to minimize the allergy? I am sure you can find something without prescription. There is this syrup my sister took in spring, I used to drink it just to feel high (I am not allergic)...NB:Today the pollen count is 9,369 particles of pollen per cubic meter of air. The record prior to this week was 6,013, set in the spring of 1999. It's killing me.
wakuu ni kama utamaduni maana hata ambao wanavaa vinguo vya kichovu nao wanavaa vifupi pia na wanapuyanga tu bila kujali nani anawatazama, nachoshindwa kuelewa ni kwa nini wanapenda sana kuonesha ngozi japo kuna nguo nyingi tu nyepesi za kujisitiri mwili mzima maana pamba ni za kumwaga; halafu inaonekana pia wanawake wanavaa kujionyesha kwa wanawake wenzao, sijui hili ni kwa sababu ya ushoga na usagaji kwa wabeba maboksi au ni mashindano tu. wengine wanavaa hivyo vinguo vifupi sana na viatu vya mchuchumio hadi darasani, hivi kweli hali ya mwalimu wa kiume inakuwaje pale mbele anapotoa mhadhara!
Oyaaa dogo...kwani unataka kuwa sungusungu wa maadili? Furahia eye candy bana.
sio suala la maadili, nimezoea sana ila leo kuna mdada alikuwa mbele yangu kavaa kikaptula kifupi mno kinabana kinoma tena kina vipindo vya nguvu kwenye kona zake alafu akawa anatembea kwa madaha eti kwenda darasani, alinitibua hapo hapo nikaingia huku kuweka hiyo mada, kufika darasani nako nikakuta kamdada kadogo kamevaa kigauni kifupi halafu bado kanakunja mguu mmoja kwenye kiti ilhali mbele kuna mwalimu wa kiume, ilinikera; kutoka darasana nikakuta lidada lenye figa la kufa mtu limejilaza majanini na kinguo kifupi eti linasoma kitabu, kha!
ponda raha kufa kwaja.sio suala la maadili, nimezoea sana ila leo kuna mdada alikuwa mbele yangu kavaa kikaptula kifupi mno kinabana kinoma tena kina vipindo vya nguvu kwenye kona zake alafu akawa anatembea kwa madaha eti kwenda darasani, alinitibua hapo hapo nikaingia huku kuweka hiyo mada, kufika darasani nako nikakuta kamdada kadogo kamevaa kigauni kifupi halafu bado kanakunja mguu mmoja kwenye kiti ilhali mbele kuna mwalimu wa kiume, ilinikera; kutoka darasana nikakuta lidada lenye figa la kufa mtu limejilaza majanini na kinguo kifupi eti linasoma kitabu, kha!
Send a PM (only if you are serious about this, I tried with some members but they all dropped before the fifth lesson).naomba private tutorial za kifaransa - mimi na wewe tu - hata kama ni mara moja wa wiki, tuwe tunakutana skype basi tafadhali au nipe namba yako niwe nakupigia tu-palezi ki-franse.
Swali la kujiuliza ni nini hasa saikolojia inayofanya wanawake wa rangi zote wavae nguo fupi kiasi hiki? Je, ni fasheni? Au ni kwa ajili ya kuvutia macho ya wanaume? Pengine ni raha na uhuru mwili ukiwa wazi?
Send a PM (only if you are serious about this, I tried with some members but they all dropped before the fifth lesson).