OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Mo ni mbinafsi,
Changu ni changu chako ni changu
Pesa yake ni yake, ila pesa inayopatikana SSC kama fungu la CAF au NBCPL pia ni yake,
Hii ni Falsafa yake,
Akisimama ktk camera husema simba ni yake,
Ana wajumbe wake kwenye bodi upande wa uwekezaji,
Wote ni watiifu kwake,
Wote wamejiuzuru,
Kachukua nafasi ya TRY AGAIN,
Kambakisha kama mjumbe au mwanachama,
Kizingiti ni Mangungu ambaye ni boss upande wa wanachama,
Kazi iliyopo ni kumtoa mangungu kisha kuweka mtu wake mtiifu upande wa wanachama,
This time atakuwa ni mwana familia (mhindi),
Na ataimiliki SSC kisheria,
Anaihitaji SSC kuliko kitu chochote,
Juisi zake, sabuni zake na mafuta havitauzika,
Atatumia kila njia atamtoa mangungu
Nawasilisha