Mchokoz Member Joined Apr 10, 2013 Posts 34 Reaction score 9 Apr 13, 2013 #1 kwa wanao kifaamu hiki chuo. kinatoa coz gan kwa ngazi ya cheti na diploma kwa mwaka 2013/2014 Msaada wenu wakuu.
kwa wanao kifaamu hiki chuo. kinatoa coz gan kwa ngazi ya cheti na diploma kwa mwaka 2013/2014 Msaada wenu wakuu.
mhalisi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,181 Reaction score 322 Apr 13, 2013 #2 ingia kwenye tovuti yao Saint Augustine University of Tanzania unaweza kuona kozi wanazotoa.
Mchokoz Member Joined Apr 10, 2013 Posts 34 Reaction score 9 Apr 13, 2013 Thread starter #3 mhalisi said: ingia kwenye tovuti yao Saint Augustine University of Tanzania unaweza kuona kozi wanazotoa. Click to expand... Nimeingia kwenye tovuti yao sijaona hiyo kitu.
mhalisi said: ingia kwenye tovuti yao Saint Augustine University of Tanzania unaweza kuona kozi wanazotoa. Click to expand... Nimeingia kwenye tovuti yao sijaona hiyo kitu.
Maboso JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 5,164 Reaction score 5,762 Apr 13, 2013 #4 Mchokoz said: Nimeingia kwenye tovuti yao sijaona hiyo kitu. Click to expand... Angalia kwenye tab ya academics
Mchokoz said: Nimeingia kwenye tovuti yao sijaona hiyo kitu. Click to expand... Angalia kwenye tab ya academics
Mwanamalundi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2007 Posts 3,125 Reaction score 1,435 Apr 13, 2013 #5 Tembelea hapa: Saint Augustine University of Tanzania » Programmes
Mchokoz Member Joined Apr 10, 2013 Posts 34 Reaction score 9 Apr 13, 2013 Thread starter #6 Maboso said: Angalia kwenye tab ya academics Click to expand... Thanx mkuu.
Mchokoz Member Joined Apr 10, 2013 Posts 34 Reaction score 9 Apr 13, 2013 Thread starter #7 Mwanamalundi said: Tembelea hapa: Saint Augustine University of Tanzania » Programmes Click to expand... shukran kwako mkuu.
Mwanamalundi said: Tembelea hapa: Saint Augustine University of Tanzania » Programmes Click to expand... shukran kwako mkuu.
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,657 Reaction score 3,679 Apr 13, 2013 #8 Mkuu umechemka form 4 nini?
Mchokoz Member Joined Apr 10, 2013 Posts 34 Reaction score 9 Apr 14, 2013 Thread starter #9 aka2030: Nijanga la Taifa bro.