Saint Speaker

kuna watu wa ajabu sana wananibania hadi huku, nimekuwa saint lakini bado tu wanabana wanataka nirudi huko au niendelee kuwa huko kwenye bada ways, i will not buy :
Amani iwe nanyi:
 
KUkiangalia baadhi ya watakatifu wengi walikuwa na matendo mabaya ajabu before, mkumbuke peter/paul na wengine matendo yao mabaya waliyaweka hadharani so na ww unaweza kutuelezea matendo ya nyuma ambayo umeondokana nayo ndipo tukuite saint:biggrin1:
 
kwa sababu nilikuwa na dhambi(hata wewe unazo nyingi tu)
na sasa hivi nimetubu
na nimemrudia Mungu
na sitarudi tena kwenye njia chafu
na jina la Bwana lihimidiwe

hallelujah
Amani iwe nawe:

Kwa kauzoefu kangu kadogo kuhusu huyu Bwana nadhani kuna Binti Mlokole humu ndani anawindwa, take my words.....

Kila la Heri Mtakakitu Ivuga.
 
Kwa kauzoefu kangu kadogo kuhusu huyu Bwana nadhani kuna Binti Mlokole humu ndani anawindwa, take my words.....

Kila la Heri Mtakakitu Ivuga.
hahah mkuu Tanmoumeenda mbali sana, na haa naona unataka kununua ugomvi kwa speaker ,analalamika kial siku kuwa kuna mtu anataka kumchukulia mke wake
 
Ukitaka kuwa mtakatifu jiunge na freemaso
 
hahah mkuu Tanmoumeenda mbali sana, na haa naona unataka kununua ugomvi kwa speaker ,analalamika kial siku kuwa kuna mtu anataka kumchukulia mke wake
Dah,yaani watu wamesha kushtukia aisee,..
so far mabinti walokore humu ni susy na mamamkwe wangu (maty)
sijui una mfukuzia nani humu duh,jamaa una triki wewe
 
Kwa kauzoefu kangu kadogo kuhusu huyu Bwana nadhani kuna Binti Mlokole humu ndani anawindwa, take my words.....

Kila la Heri Mtakakitu Ivuga.

hahaha,bora ume msitukia aisee,..
Ivuga ni balaaa,hivi ivuga majibu vipi lakini?
 
KUkiangalia baadhi ya watakatifu wengi walikuwa na matendo mabaya ajabu before, mkumbuke peter/paul na wengine matendo yao mabaya waliyaweka hadharani so na ww unaweza kutuelezea matendo ya nyuma ambayo umeondokana nayo ndipo tukuite saint:biggrin1:

Mh,njoo kanisani juma pili ntakuwa nayaanika yote,toka niko 2yrs hadi 16-22yrs yalipo kua machafu zaidi
hadi leo hii niki elekea utakatifu
 
Reactions: Obe
Jiite Lusifa, kubwa la mashetani!

sijui kwanini hawarudishi GROAN dah,...
afu waweke option ya kipiga groan hadi uchoke ungesha pata 100 hivi toka kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…