saitama_kein JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 981 Reaction score 99 Oct 30, 2009 #1 Habari ndugu zanguni? Mie ndo nimepata habari ya forum hii na kuvutiwa nayo na kwa kuanzia nimeona nitowe salamu zangu za upendo wa dhati kabisa kwa wote.....kama nimekosea naomba msamaha ndo kujifunza
Habari ndugu zanguni? Mie ndo nimepata habari ya forum hii na kuvutiwa nayo na kwa kuanzia nimeona nitowe salamu zangu za upendo wa dhati kabisa kwa wote.....kama nimekosea naomba msamaha ndo kujifunza
Lole Gwakisa JF-Expert Member Joined Nov 5, 2008 Posts 4,768 Reaction score 2,361 Oct 30, 2009 #2 Umingia mlango wa jikoni, mods mwonyesheni njia please!