25,000Ya .co.tz inakuwa bei gani
.org kwa shirika/nonprofit inakuwaje?25,000
25,000 kwa mwaka.org kwa shirika/nonprofit inakuwaje?
Iko hewani mkuu karibuMbona hosting packages hazifunguki?
Hii kitu sio utata mtupu kweli?
Nilitaka nikuungishe faster
duh, kazi na utuHuyu jamaa ni tapeli . Msijaribu kumtumia hela kashanitapeli 15k alafu kaniuzia domain name na hosting . Baadae imepita kama siku 3 kaifuta eti anadai nimlipe tena 15k . Daah bongo sinunui tena vitu online