KAPIRIPIRI
Member
- May 24, 2011
- 31
- 9
Ili kusajili kampuni yako ndani ya muda mfupi, bila usumbufu wasiliana na RMJ & CO.Ltd kupitia namba 0714784154 au 0753784154. Kwa wale ambao walishafika kwenye ofisi zetu za awali, sasa tumeamia Tabata Matumbi (Mandela Road), jengo ilipo benki ya Access, 2nd Floor.
N.B: Kazi ya usajili wa makampuni inafanywa na BRELA, kampuni yetu ni ya uwakala, tunamsaidia mteja kuandaa makabrasha yanayohitajika ikiwemo Articles of Association, Memorandum na ujazaji wa fomu za brela ili kumpunguzia urasimu.Hata wateja walioko mikoani tunawasaidia kukamilisha usajili na kufatilia vyeti vyao vya usajili (Certificate of Registration)