Sajili kampuni yako kwa haraka bila usumbufu

KAPIRIPIRI

Member
Joined
May 24, 2011
Posts
31
Reaction score
9
Ili kusajili kampuni yako ndani ya muda mfupi, bila usumbufu wasiliana na RMJ & CO.Ltd kupitia namba 0714784154 au 0753784154. Kwa wale ambao walishafika kwenye ofisi zetu za awali, sasa tumeamia Tabata Matumbi (Mandela Road), jengo ilipo benki ya Access, 2nd Floor.
N.B: Kazi ya usajili wa makampuni inafanywa na BRELA, kampuni yetu ni ya uwakala, tunamsaidia mteja kuandaa makabrasha yanayohitajika ikiwemo Articles of Association, Memorandum na ujazaji wa fomu za brela ili kumpunguzia urasimu.Hata wateja walioko mikoani tunawasaidia kukamilisha usajili na kufatilia vyeti vyao vya usajili (Certificate of Registration)
 
Naomba kujua gharama za usajili kwa kila aina ya kampuni please!
Pia Mawasiliano kwa mtandao ili mtu "asije" na kuuliza mambo common.
Interesting!..... Inachukua muda gani ili mtu apime anachookoa?
 
Ndugu wadau, bei ni tofauti kulingana na mtaji wa kuanzia, kwani BRELA wanachaji kulingana na viwango vya mtaji wa kampuni husika.Kwa taarifa zaidi "on individual cases" tafadhali niPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…