Eliad Theobard
New Member
- Nov 29, 2022
- 1
- 0
Vilabu hivi viwili SIMBA pamoja na YANGA vina mapungufu katika vikosi vyao ukianza na mabingwa watetezi YANGA wamekuwa na tatizo kwenye safu yao ya ulinzi pamoja na kiungo wa kati nafasi ambazo humlazimu Yanick Bangala kucheza nafasi zote mbili kadiri ya mahitaji ya meji hivyo yanga inahitaji saini ya beki wa katibkwakuwa Bangala ni kiungo mkabaji mabekibwaliopo hawakizi mahitaji ya timu kimataifa yanga lazima watumie dirisha hili dogo kujiandaa na makundi ya shirikisho Afrika.