Sajili taarifa zako za mawasiliano ya kibiashara ili wateja wakitaka kukupata iwe rahisi

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
Nijuze ni mtandao uliopo chini ya kampuni ya MES solution.Nijuze ni makataba ya kuhifadhi mawasiliano ya wafanyabiashara na watoa huduma mbalimbali wenye ofisi,ili iwe rahisi kwa wateja wao wapya na wazamani kuweza kuasiliana nao na kuwapata pindi watakapo wahitaji.

Mawasiliano haya ni yale ya namba za simu pamoja na anuani za maeneo ambako biashara hiyo inafanyika.Pia nijuze inatoa msaada wa kufika eneo husika kwa kutumia Google map.



Ili kuboresha Huduma yetu nijuze ina na mfumo maalumu wa Huduma kwa wateja ambapo tutakua tukipokea simu mojakwamoja kutoka kwa wateja ambao watakua wakihitaji mawasiliano ya wafanyabiashara wa Huduma au bidhaa fulani.

Mfano Kama mteja atataka kupewa namba za wauzaji wa kuku wa mkoa wowote ule mfano wauzaji kuku mkoa wa Mwanza nijuze itamtumia mteja huyo mawasiliano ya wauzaji wa kuku walio jisajili kwetu kutokana na eneo alilopo Ili aweze kuwasiliana na mfanyabiashara huyo wa kuku.

Huduma yetu ya njia ya mtandao wa nijuze umetengenezwa ufunguke kirahisi katika simu zenye internet ili uweze kufikisha taarifa kwa watu wengi zaidi kupitia simu zao za mkononi.


Malengo yetu ni kutunza kumbukumbu na kutoa taarifa za kibiashara kwa mfumo wa matangazo kutoka kwa wafanyabiashara wenyewe kwenda kwa wateja zao wapya na wazamani.

Lengo kuu ni kutoa taarifa muhimu,za mawasiliano kati ya mfanyabiashara na mteja,ili waweze kukutana na kufanya biashara.

Hivyo nijuze inatumika kama jukwaa la kukutana kwa wafayabiashara na wateja wao ili kupata mawasiliano na kujua mahali ambapo biashara fulani inafanyika.

Taarifa za mawasiliano na anuani zinazo chapishwa hapa ni zile ambazo zimehakikiwa na kuthibitishwa na mfanyabiashara mwenyewe.

Taarifa zote za wafanya biashara zitatunzwa na kulindwa ili ziweze kufanikisha lengo kuu la kumkutanisha mteja na mfanya biashara husika.

Maktaba hii ya mawasiliano na anuani za wafanyabiashara itakuwa ikitoa huduma kwa masaa 24.

Nijuze inajumuisha wafanyabiashara wenye ofisi ,au maeneo ya moja kwa moja ya kufanyia biashara,hatujihusishi na wafanyabiashara wanao hamahama au kuto kuwa na ofisi maalum.


KWA NINI WAFANYABIASHARA WANAPASWA KUJISAJIRI NA "nijuze"

Nijuze ni makaktaba ya wafananya biashara ambapo taarifa za mawasialiano na anuani za mahali wanapofanyia biashara zo au huduma zao zinawekwa na kutunzwa.

Hivyo kama mteja atahitaji kujua mahali ambako kuna aina fulani ya bidhaa inapopatikana atapiga simu Huduma kwa wateja ya nijuze kuomba namba ya aina ya wafanyabiashara katika eneo au mtaa flani.nijuze itamtumia mteja huyo mawasiliano hayo ya wale wafanyabiashara walio jisajili kwetu.


PIA mteja anaweza akaingia moja kwa moja katika mtandao wetu wa nijuze na kuangalia mawasiliano ya aina flani wa wafanyabiashara katika orodha ya wale ambao wamejisajiri katika system yetu.


Nijuze inajumuisha Nyanja tofauti tofauti za kibiashara hivyo kuwa kituo cha kipekee kabisa cha wateja wa kila aina.Mteja ambae atakuja kutazama kuhusu bidhaa za ujenzi anaweza kuvutiwa pia kutazama matangazo mengine kwa mfano mavazi,vyakula n.k.

Kutokana na aina hii ya majumuisho ya kibiashara katika sehemu moja nijuze ni mtandao wa kipekee katika kufikisha taarifa mbalimbali za kibiashara kwa wateja.

Nijuze inahakikisha inapambana na utapeli wa kimtandao kwa kuhakikisha wale wote wanao tangaza biashara zao humu ni wale tu ambao wana ofisi maalumu za biashara,hii itahakikisha kuwa mfanyabiashara anaye sajiriwa anakuwa na anuani harisi ya ofisi yake ya biashara ilipo hii itasaidia kupunguza wizi wa kimtandao.

Nijuze Imeanzishwa kwa lengo lakuwasaidia wateja wa bidhaa flani kujua wapi zinapatikana,hili tunalifanya kwa kuambatanisha namba ya simu ya mfanyabiashara husika,anuani ya eneo ambalo ofisi yake ipo pamoja na mawasiliano mengine muhimu, yatakayo muwezesha mteja kufika eneo husika bila tatizo.

Nijuze inatoa huduma yake masaa 24 katika kufikisha taarifa juu ya mabadiliko ya kibiashara kwa wateja kama vile punguzo la bei,offer mbalimbali n.k. Hii itasaidia wafanya biashara kufikisha taarifa zao za offer na bonus mbalimbali kwa wakati kwa wateja wao.

Nijuze ni mtandao unao huhusisha mikoa yote ya Tanzania hivyo wafanya biashara wote kutoka ndani na nje ya Tanzania mnakaribishwa kuja kutuma matangazo yenu.Na matangazo yetu yanasomwa kirahisi kabisa kupitia simu za mkononi na mteja wakati wowote na mahali popote.

Nijuze inajitangaza na kukusanya wasomaji wake kwa njia ya kujitangaza katika mitandao ya kijamii,na vyombo vya habari mabimbali.

wafanyabiashara wote mnakaribishwa kujisajiri katika maktaba hii ili iwe rahisi kwa wateja wenu wapya na wazamani kupata mawasiliano yenu kirahisi kupitia hapa.

[Mfanyabiashara au mtoa Huduma waweza kujaza fomu ya taarifa ya biashara yako na kujisajili online HAPA.
 
Wale wenye ofisi zinazo toa huduma hizi hapa chini mjisajiri kwetu tuweze kuwa sehemu ya kuwatafutia wateja wa biashara au huduma yako.
Kufahamu vile tunavyo fanya kazi na kujisajiri bonyeza HAPA

Maduka yaliotangaza offer
. Ratiba za show na matamasha

. Taarifa za minada
. Maduka ya nguo na viatu
. Maduka ya bidhaa za urembo

. Maduka ya Simu

. Maduka ya TV na Radio

. Maduka ya Furniture/Samani

. Maduka ya vifaa vya ujenzi
. Supermarket

. Sonara

. Maduka ya nafaka

. Wauzaji wa kuku/Mayai

. Mafundi

. Watangazaji wa sherehe (MCs)

. Hotel & Reusturant

. Maduka ya vifaa vya magari

. Maduka ya vifaa vya pikipiki

. Maduka ya Stationaries

. Salon za kike

. Salon za kiume

. Hospitali za tiba mbadala

. Pub & bar nzuri

. Sehemu nzuri kwa chakula/vinywaji

. Maduka ya pembejeo za kilimo

. Sehemu za Nyama choma

. Wanaokodisha vifaa vya harusi

. Salon zinazo pamba maharusi

. Wanao kodisha kumbi za harusi/mikutano

. Vyuo vyenye nafasi za masomo

. Shule zenye nafasi za masomo

. Maduka ya gesi
. Wanao print Nguo na Vifaa mbalimbali

. Vituo vya Tution kwa QT,RE-SITTERS

. Kampuni za wafanyakazi wa majumbani

. Consultants

. Dry Cleaners (Madobi)

. Maduka ya magari

. Ratiba za mabasi ya Usafiri mikoani​

. Maduka ya pikipiki

. Maduka ya Vifaa vya umeme

. Wauzaji wa samaki​

. Wauzaji wa dagaa

. Wauzaji wa mbao

. Wauzaji wa mbogamboga/matunda​

. Maduka ya pembejeo za kilimo

. Maduka ya madawa baridi ya binadamu​

. Maduka ya dawa za mifugo

. Wakodisha magari

. Kampuni za kufyatua na kuuza matofali

. Washauri na Wanasheria

. Kampuni zinazotoa mikopo

. Wapambaji wa kumbi za harusi na mikutano

. Maduka yanayouza computer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…