"Sajili za kitapeli" 2022/2023

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,676
Reaction score
4,693
Katika msimu huu wa 2022/2023 kuna klabu zimesajili wachezaji kwa gharama kubwa na wameshindwa kuonesha thamani yao halisi uwanjani lakini magazetini, mitandaoni na wanazi wa vilabu vyao wamekua wakiwapamba sana

1. Shinobu Sakai - Geita gold fc
2. Nelson Okwa - Simba Sc
3. Victor Akpan - Simba Sc
4. Ahmada - Azam Fc
5. Tapedinho - Azam Fc
6. Twisila Kisinda - Yanga
7. Bigirimana - Yanga
8. Augustine Okrah - Simba Sc
9. Ndoye - Azam Fc
10. James Kotei - Mtibwa
11. Shikalo - Mtibwa
12. Ismael Sawadogo - Simba Sc
13. Kambole - Yanga

Ongeza zako[emoji116]

NB: Simba bado haina kiungo mkabaji, Sawadogo, Mzamiru na Kanoute wanacheza mpira wa kufanana (kupenda kushambulia zaidi kuliko kulinda) hakuna mchezaji anayelinda backline.
 
Kwa upande wa Yanga, ni Gael Bigirimana na Kambole tu. Tuisila Kisinda bado ni mapema sana kumhukumu.

Na huyo Kambole mwenyewe unaambiwa ana goli 3 ndani ya mechi 2 tu huko Zambia anakocheza kwa mkopo! Hivyo uwe makini. Utakuja kuyajutia haya maneno yako.
 
Mimi sijawahi kuona ubaya wa Bigirimana kwa muda ambao amecheza hakuna siku ameharibu game
 
Mimi sijawahi kuona ubaya wa Bigirimana kwa mda ambao amecheza hakuna siku ameharibu game
Ni mchezaji mzuri, na mwenye uzoefu. Sema tu mfumo wa timu wa kucheza mpira wa nguvu na kasi, ndiyo ulikuwa kikwazo kwake.
 
Katika msimu huu wa 2022/2023 kuna klabu zimesajili wachezaji kwa gharama kubwa na wameshindwa kuonesha thamani yao halisi uwanjani lakini magazetini, mitandaoni na wanazi wa vilabu vyao wamekua wakiwapamba sana....
Unaposema wa gharama kubwa inabidi uonyeshe na gharama zao vinginevyo unakuwa unaongea vitu vya kubahatisha
 
Leo Utopolo umejitahidi, ushauri wangu umeanza kukuingia
 
Mimi sijawahi kuona ubaya wa Bigirimana kwa mda ambao amecheza hakuna siku ameharibu game
Game time , na Nabi ni kama hakumtaka.

Sure na Mudathir wamepewa confidence na game nyingi kuliko yeye.

Inshort kocha hajamtaka na kumvumilia. Kisinda mpk kesho anapangwa,

Gael akidouble na Yanick au Aucho anacheza vizuri sana.

Anyway mawazo yangu tu
 
Umemuacha kipenzi chetu Dejan aka Mlete Mzunguuuu.
Okrah mwondoe hapo yuko vzuri sana yule
 
pia kisinda yupo kwa mkopo ni mchezaji wa berkane

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Ismael Sawadogo.
Augustine Okrah.
Hawa ondoa kwenye list huyo sawadogo bado mapema sana,Okrah kwa kiasi amedeliver ni mchezaji mzuri.
 
Yaani simba siku wakijjichanganya wakamuanzisha sawa dogo na kanoute kwa pambana kwenye mechi moja basi hapo lazima kadi nyekundu ihusike kwasababu yule sawa dogo anapiga buti kushinda hata kanoute.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Duh kwahiyo watakuwa wanashindana kupiga mabuti tu.
 
Very true
 
Duh kwahiyo watakuwa wanashindana kupiga mabuti tu.
Sawa dogo hachagui eneo la kupiga buti bora hata kanoute mda mwingine anatumia akili ila yule sawa dogo ni noma kwa kupiga buti mechi ya mwisho waliocheza simba alimpiga mtu buti karibu na box.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…