Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Sekion Devidi kiongozi wa kundi la Orijino Komedi anasema:
Nimezungumza na SAJUKI na mkewe Wastara kwa dakika 15;Dakika moja iliyopita! Afya yake inaimarika na anaweza rejea Tanzania mapema!
MASANJA MKANDAMIZAJI nae anasema:
Ndugu yetu Sajuki anaendelea vizuri! Muda si mrefu uliopita mkewe amezungumza kwa njia ya simu na mwakilishi wa kundi la Orijino Komedi!
Hivyo UZUSHI uliotapakaa hapa na kwingine hasa ukianzia INDIA ktk mtandao wa Mehraj News na nchini Kenya ktk mtandao wa Kenya Daily News, kuwa msaniii wa maigizo wa Tanzania ndugu yetu SAJUKI ametutoka sio kweli!