Sajuki anaendelea vema mda wowote atarejea nyumbani

Status
Not open for further replies.
lahaula jumakidogo, yote yake haya, au mengine umemuwekea kiporo ya kesho,? wallah sijawahi sikia maneno yote haya kwa wakati mmoja! lol.
 
Moderator wa JF Photos na Moderator ambaye kwenye page yake aliachia habari hiyo ikapostiwa na Mods wote wa JF mna matatizo na utendaji wenu wa kazi unatia shaka sana na sijui imekuwaje mkapewa u moderator ama labda nyie ndio mmeshikampini ila mnastahili kutumia busara na kukaa pembeni mmeshindwa kazi,Jipimeni tu kisha mtumie busara.
 

Good news kama anaendelea vema.
Mungu amsaidie apone, aendeleze fani
 
Hivi hawa seki na masanja kwa nini hawajatuletea story kuhusu vengu??? Asante kwa taarifa ya sajuki lakini na ya vengu ni muhimu
 



Hivi hawa seki na masanja kwa nini hawajatuletea story kuhusu vengu??? Asante kwa taarifa ya sajuki lakini na ya vengu ni muhimu


 
namuembea sana sajuki, mola amuenue na kumrudisha kwenye hali yake ya kawaida, inshallah sajuki utapita kwenye mtihani wako bora uwe na imani tu. usivunjike moyo kwani mwenyezimngu amekukumbuka. kuwa na subra na mola atakuondolea matatizo yako. amin
 
Namtakia kila la kheri sajuki, mwenyezimungu ampe siha njema arudi na kuendelea na kazi zake amin.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…