#COVID19 Sakata Askofu Gwajima dhidi ya Bunge, Mawaziri na Baadhi ya Wananchi limechora Uhalisia wetu

Thibitisheni hayo madai yenu, msiandike tu kujilizaliza bila sababu.
 
Wwe niambie maana ya Uaskofu, Maana me najua Askofu maana yake ni muangalizi wa kanisa


Askofu ni mtu mwenye cheo cha juu katika Kanisa. Kwa kawaida huliongoza katika eneo la dayosisi (jimbo) akisimamia shirika au parokia nyingi.


Haijazungumziwa shule au chuo cha kusomea. Hamna
 
Mjinga ni wewe unaeshangailia ushenzi kisha kuacha raslimali za nchi zikiliwa na kundi dogo la kifamilia.
Hii nchi haiendelei kwa sababu ya wapuuzi kama nyie.
Unazid kuonesha namna gani wewe ni kilaza ,shule haijakusadia [emoji3526][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uliungana naye wewe sio Watanzania.Ushindi gani watu wanaendelea kufa kwa Covid.We fala sana na huyo Kibwetere wenu

Iko siku isiyo na jina ambapo wenye ndugu zao waliokufa baada ya kuchanjwa watapaza sauti na watasikika.
 
Kuna toleo jipya ya Chanjo J&J dozi 2 yenye uwezo wa 94%
Ile Chanjo ya msaada tuliambiwa ni Salama inafaa kwa matumizi.
wenye Chanjo wametengeneza wamekuja Na Toleo jipya.
Bila kusema uongo Toleo la kwanza la J&J litakuwa na mapungufu kwenye utendaji.
Kama lingekuwa na uwezo wasingetengenezo Toleo Jipya.
 
Naona wale maadui watatu aliowaainisha Mwalimu Nyerere miaka ya 1960 bado wapo imara 50 years later na sasa wamekuwa nguvu kuliko wakati ule wa uhuru. Hasa adui ujinga.
 
Bado anatoa mahubili kila jumapili kuwaambia wajinga wake pale kanisani?
 
Majuzi hapa tumetangaziwa hapa kwenye dispensari ya Kijiji zimeletwa chanjo za covid hivyo hakuna haja ya kwenda wilayani, maajabu sasa wananchi wameapa hawaendi kutibiwa hapo wasije wakachomwa chanjo hizo bila wao kujua...huduma zimesusiwa bhagosha!!!
 
Kusutana si kuzuri hata kidogo. Nawashauri nyote hivi.

" Aliyechanjwa amuombee heri ambaye hajachanja. Ambaye hajachanja amuombee heri ambaye amechanja. Aliyechanja akipata madhara ambaye hajachanja awahi kumsaidia aliyechanja; vivo hivyo, ambaye hajachanja akipata madhara aliyechanja awahi kumsaidia ambaye hajachanja.

Ni kwa msingi huu, tutawashinda kirahisi sana wale wote wanaotaka kutugombanisha, kuvuruga amani, umoja na ushirikiano wetu kwa kutumia chanjo".

Tutakianeni kila la heri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…