Ninani kakudanganya kuwa Uaskofu unasomewa?kasome maandiko (1timotheo3:1-7)Tito 1:7-8)
Kuna maelekezo yoyote kwenye Biblia kuhusu uaskofu? Tusije tukawa tuna amini visivyo kuwepo tukadhani ndio vilivyo kumbe sioAskofu?Aliusomea wapi?Nani alimpa?πππππ
Hua mnasoma wapi kwenye Biblia? Sina maana kwamba naamini kwamba Gwajima ni askofu lakini pia sipingi uaskofu wake kwa grounds ambazo wengi mnazitoa, toeni maandiko kwamba ili uwe askofu unatakiwa ufanye ABCD kwa reference ya maandiko ya kitabu anacho kiamini.Wewe nawe ni wale wale. Kwa makusudi umeshindwa kujibu swali lake la pili. Ni nani alimpa. Uaskofu ni wakfu anaopatiwa mtu. Hakuna padri, shekhe, mchungaji anayejipa wakfu huo!! Hata manabii na mitume hawakujibu wakfu huo!!
Uaskofu au ushekhe ni madaraka! Bado tusaidie katika swali letu - ni nani alimtia wakfu Gwajima??
Kwa hiyo na weye ni askofu?πππKuna maelekezo yoyote kwenye Biblia kuhusu uaskofu? Tusije tukawa tuna amini visivyo kuwepo tukadhani ndio vilivyo kumbe sio
Mimi sio askofu wala mchungaji, nimeuliza tu kwani vigezo vya mtu kuitwa au kua askofu vikoje Kibiblia? TusikaririKwa hiyo na weye ni askofu?πππ