Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwa yanayoendelea kuhusui sakata hili(mchakato wa manunuzi), ni vema ikaundwa Tume Huru kuchunguza mchakato mzima ulivyofanyika.
Watanzania tunataka kujua kama sheria husika zilifuata na kama bei ni halali kulingana na mali ilioyonunuliwa.
Kuna mambo tunasoma mitandaoni mpaka tunabaki midomo wazi na mfano mzuri ni bandiko la Martin Maranja Masese kupitia akaunti yake ya twitter juu ya sakata hili zima.
Sakata hili linataka kufanana na lile la Richmond hivyo nalo liundiwe tume watanzania tujue ukweli ni upi.