Huyooo...Simba kwa hili Ni kuishoofisha tu yanga cyo. Kingine mchezaji ana kiburi unadhani watakujakuiva na senzo .Hapna ni usajili wa mihemko haufati professionalism mnk mm morison Hana jipya kivile Ni wa kawida Sana na kama Ni yuko Safi bas tulitegemea kumuona. Uko tp mazembe ama elmeereki
Wataishia kuifunga Yanga na Namungo.''ukiiona tweet ya MO ndio utajua kwanini Senzo kasepa, Jamaa anataka timu yake iendeshwe kihuni"'
Mkuu hivi ulisoma kipande hiki cha maelezo?Daaaaaah we jamaa unajua kutengeneza nadharia ambazo hazina uhalisia? Ulivyoripoti utafikiri ndo alivyosema Senzo kwenye tweet yake,
Kuna siku hizi nadharia mtakuja kuzikataa muda ukifika
Nilikuwepo na Social Media Content Manager pande fulani usiku wa Jana. Jamaa akanimwagia mchele chini ya kwamba sakata la BM kusaini Simba SC litaondoka na mtu, Sikumuelewa.
Uliandika huu Uzi ufute sasa, maana umeandika kwa hisia bila kua na ukweli wa habari,
Maana kuna taarifa kua anaenda Yanga ko sio kwa sababu ya usajili wa Morison
Simba ilishaanza kuwa stable. Sasa inarudi enzi ya Wazee wa 10% hans Pope, hajj , kaburu na kundi lao.