Kuna mwanafunzi wa kike chuo kimoja mkoani Tabora leo asubuhi amedondoka darasani baada ya kuchelewesha boom, kwa mjibu wa marafiki zake mwanafunzi huyo amekuwa akilalamika hana pesa takribani wiki nzima huku akiishi kwa kula kipande cha mkate na maji kila siku hali iliyofanya kuishiwa nguvu na kudondoka darasani.
NB: HESLB na Serikali acheni kuwatesa wadogo zetu vyuoni mnatengeneza Taifa na kizazi chenye hasira.
NB: HESLB na Serikali acheni kuwatesa wadogo zetu vyuoni mnatengeneza Taifa na kizazi chenye hasira.