Sakata la boom vyuo vikuu mwanafunzi adondoka darasani.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Kuna mwanafunzi wa kike chuo kimoja mkoani Tabora leo asubuhi amedondoka darasani baada ya kuchelewesha boom, kwa mjibu wa marafiki zake mwanafunzi huyo amekuwa akilalamika hana pesa takribani wiki nzima huku akiishi kwa kula kipande cha mkate na maji kila siku hali iliyofanya kuishiwa nguvu na kudondoka darasani.

NB: HESLB na Serikali acheni kuwatesa wadogo zetu vyuoni mnatengeneza Taifa na kizazi chenye hasira.
 
Mpen pole


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Sasa kwanini wakamcheleweshea boom wakati wanajua ndo miguu ya huyo mwanafunzi, kumbe tabora nako kuna chuo kikuu
 
Mungu amnusuru na jang la booom maana hata josiah kibira nako ni majanga tu
 
I see yaani boom limempiga mweleka dada wa watu !!
 
naikumbuka iliwahi kutkia chuoni ,watu walikua wanatumia karanga na mikate,kwa kweli ni hatari!
 
hahaha.. duh! jf kuna mambo hadi raha
 
samahani , hapo juu nilitalitaka kujuzwa hiki chuo josiah kibira kiko wapi? kimeanza lini na kinaoffer kozi zipi?
 
ndugu josiah kibira kipo bukoba ni tawi la makumira kama kama una ndugu yako anatafuta chuo usithubutu kummshauri kukichagua kwani hatakusahau maisha yako yote mpaka anakufa ni chuo kikuu ambacho uongozi wake haufai na hakifai kuwa hata chuo cha nursery.!!!!!
 

Sio tawi la makumira ni tawi la SAUT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…