Sakata la Chuo cha Kampala, wadau waingilia kati

jrharakati

Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
37
Reaction score
1
wasanii na watangazaji waiingilia kati kuhimiza serikali iweze kuwasaidia wanafunzi hao matatizo yao yatatuliwe ijiwepo lile la kuhamishwa kupelekwa vyuo vingine

 
Nimeipata hii kwa mdau ambaye hakupenda jina lake litajwe. Wanafunzi, kuweni makini!

Chanzo: Allan Lucky || Facebook



 

Attachments

  • allan.png
    23.5 KB · Views: 77
Kila siku mimi huwa ninasema vijana msiende vyuo kama hivyo
Ni mara kumi ukaenda kusoma diploma vyuo vya serikali kuliko kwenda kusoma shahada ambapo mwisho wa siku unaishia kusoma kwa shida na kupoteza muda
 
Vyuo vingine kama kiu ni wastage of time for a focus student.
 
Duu serikali iko wapi isishughulikie hilo swala?

Pole sana ndg,kwa hiyo unajifariji kuwa una serikali yenye masikio?.
Hadi kufa kwako usitegemee maana tuliye mtegeme kuja kufuta mambo ya kishenzi kama hayo jina lake ndo limekatwa hivyo hakuna matumaini.
Wazira wa elimu nasikia akitembelea hivi vyuo hakuna lolote analo litatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…