Sakata la Dk Shika latua Bungeni urusi

Ingekuwa ni kwa wenzetu kungekuwa na serious diplomatic discussions ila huku kwetu wala. Tanzania haina hata habari
 
mitä olet kirjoittanut veljell ... se voisi olla paljon parempi, jos esität aiheesi englanniksi
 
Takataka.
 
Ni kisa cha kuogofya sana.....Sikujua kama Shika ni jasiri kiasi hicho!
 
Reactions: OKC
Duu, bas Putin asain tu leo si ndio December 1[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee Yule kaongea kwa hisia pale aliposema Dr Shika walipomfii ππβ ra
 
Yaaaani hapa naona kitu
Hivi tanzania kuna makabila zaidi ya mia na......

Sasa wamechaguliwa watu sabini tu mmoja kutoka kila kabila hafu woooote hawajui kiswahili wakapandishwa ndani ya bus inayobeba abilia sabini tuu.

Na sasa hizi ndio stori zao
 
Nilikimbia speed kufika para ya kwanza nikajua yapili yake imetrnslatr ile ya juu kumbe duh sio,
Nikajitaid kurudia kuwa huenda siko makini lakn wap dah nikagundua JF kuna pasua vichwa nikabaki nacheka tyuu
Duniani kumbe ni wawili wawili hivi umekuwa mwenzangu.

Na umri wote huu nikajua macho yangu yanahitaji kisaidizi yani mawani yangu.

Nimeita niletewe kuivaa tuu uuuuuuuuuwiiiiiiiiiiio.....
Bora nisingeangalia
Para ya kwanza tuu holaa
Nikajua kichwa cha habari
Shuka chini chengaaaa

Komesha ni mtu aliyechukua nafasi ya josee Mungu yangu balaaa nikajua uzee tayari

Kumbe mimi na simu yangu tumetofautiana makabila aseee
 
Pole sana mkuu hii ndio Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…