Sakata la Dk Shika latua Bungeni urusi

Aiseeee hichi kitu nilokuwa sijakumbana nacho asee
Yan nilikimbilia kuona urusi wametamka nn, paragraph ya kwanza nikajipa moyo kua ni lugha ya urusi sikupata shida nika scrow para ya pili vile vile nikarudia kule juu kuwa labda nasoma vibaya ngoma inaeleweka kurud hola, nikakimbilia kwenye coment naona nafas ya jose jamaa kajibu kama vile ameelewa, nikarud tena kupitia nikaona hapa mjanja nimekamatika
 
Duh
 
Hata hujakamatka
Hapa pamoja na usomi wa phd kama anavyodai alitumia mbinu ya kienyeji kuwazubaisha mbwa kwa kushika p*u*mB*u
 
Duh hii ni zaidi ya mlenda mboga [emoji23]
 
Najua luga karibu zote hichi kitu hakiusiani hata kidogo na bunge wala Dr. Shika
 
Hichi kitu hakiusiani hata kidogo na bunge la urusi wala Dr. Shika ni maswala ya shairi na mtunzi acha kudanganya umma
 
AISEE KUMBE NI MULTI-BILLIONAIRE HIVYO NAJIVUNIA KUWA TANZANIA YA DR. SHIKA
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…