Sakata la Dk Shika latua Bungeni urusi

Duuu!!!! Naona wamelijadi Kwa kirefu sana
 
Lna siuva jmaau dkfa ma Dr Shika mkSiekema?
Hili swali nadhani uhamiaji ndio wenye mamlaka ya kulijibu vema mkuu,maana wao ndio waliompa passport so itakua rahisi kujua kama alikua anahishi kihalali au kihuni,ingawa neno ulilolitumia kwa balozi wetu wa urusi ni kali sana hili so usilitamke tena,kwa bahati nzuri hili 'yai' la Mrusi hakuna Moderator 'anayetoboa' otherwise ban ingekuhusu.
 
Alafu spika kamwambia waziri wa sheria atoe ushirikiano maana hawapo tayari kuona udugu na watanzania unakufa.
na wewe kumbe umemuelewa kwa undani maana ilibaki kidogo wazichape tazama vizuri hiyo paragraph ya 3 pale katibu wa bunge alipoanza kumbishia waziri mkuu ...wewe tulia uisome vzr hiyo aya ya 3 utaelewa vzr tu
 
Mps wasengelov
 
Nilikua namdharau shika lakini baada ya kusoma hii habari,ukweli nampigia sakuti![emoji61] kumbe anatisha presidaa wa makampuni zaidi ya 6! ninoma!!poa ana mke mzungu amemuacha ughaibuni - ya ya ya ya,endelea baba
 
na wewe kumbe umemuelewa kwa undani maana ilibaki kidogo wazichape tazama vizuri hiyo paragraph ya 3 pale katibu wa bunge alipoanza kumbishia waziri mkuu ...wewe tulia uisome vzr hiyo aya ya 3 utaelewa vzr tu
Nimepaelewa vema mkuu,unajia mabishano yalianzia kwa yule mbunge mwinge Mnyikanowisk alipitaka muongozo wa spika why mpaka sasa waziri mkuu hajajiuzuru ili kulinda heshima ya taifa lao juu ya uhuni waliomfanyia dr Shika wetu!
 
Mleta uzi si viroba vimepigwa marufuku ukiulizwa umevitoa wapi , utajibu?
 
nao
Naona hawajasema kama watafautilia pesa zake ama la.😉
 
Ishi, yaani wanasema wanaipenda ile style yake ya kushika pumbu ili mbwa wasimshambulie, wanampango wafanyie utafiti hiyo scenario, maana ni ngeni sana kwao!!!!
Le kibajajilovisk ele Nyalanduwisk
 
Habari sio ya kweli...ni mtu kachukua habari ya kirusi kaongezea Dk. Shika .Tafsiri ni hii

And when that is not the case, then >>> "Matti Luostarinen November 14 at 2:35 am · DK Shika "The new Haaviko's expression is that poems rarely have" to say, "which can be described in the notion of the concept. The thoughtful gravity and complexity of modern poetry is far removed from the poems of Haavikko. The 20-year-old author finds the merit of his collection to be noteworthy in the young poet's novel. "The father had been a political writer since his first poetry, and when he talked about history and economics, he might seem somewhat reluctant to be a man who did not remember what he really liked about people, he was extremely curious, attracted to the drama and the proso people of reality and appreciated people regardless of their education or social status. Tanzania Luis Shika " The previous description is from Haavikko's first published poetry cover page of 1951. I was born when Haaviko was 20 years old. The latter text is from 2013 and his son, Heikki Haavikko, and the preface of Haaviko's latest book, assembled by a boy. They are not the same man at all. "Roads to the distance" and "The sunny shadows of the years" telling Paavo Haavikos are gifts for the father's father's day. The second booklet has 50 pages of sparse laden poems. In one of the more than 500 pages of man's life as a desperate attempt to tie them to the cover. If the first estimate is wrong and incorrect the last to deceive even further.shika Good night and November week. When we do not know how to prepare the law, what is going on in the committees, how to decide how the structures work, and yet we are ready to tell what the intentions of the law-maker are and the party's devilish plot or how to use power that also includes secret societies. It is the same as talking about crankshaft and nuclear physics, and neither are just words other than symbols constructs concepts whose activities do not have any experience in the world. When concepts are unknown, how are we trying to deal with each other by using poetry, prose or politics, law, and its impact on a world that we do not understand anything. And we are awaiting elections to vote for someone who does our job well. What things? Which language? What kind of tools? "We'll wake up in the evening with the raised clothes like twins, when their astronomical images are threatened by the sea bull's character, when the steps of the same windfall fall and the shadows are shadowed. "" Buddha Mbatiashenko, styrka tuliawinshk, ndugailowsk stutters mbowelovisk Le Tundulov
 
Nipo ndani ya daradara harafu sijui niendako hujatenda haki kuto tafsili lugha
 
Ndio maana mimi hata sigara situmii.[emoji42] [emoji42]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…