Sakata la DP World kina Musiba waanza kuibuka

Walikuwapo wakatoweka. Mabilioni bado hawajalipa:

View attachment 2674744

Kama mchezo wa kuigiza wengine nao wanaibuka.

Ngoma inogile ngoja tuone.
HILI DUBWANA LIMEPANDIKIZWA AU LIMEJIOTEA LENYEWE?
N. B, watu Jamii hii ndiyo wanaharibu kabisa the whole na kuongeza doubts among Tanzanian.
N. B, Govt should adjust few articles only and continue well with programs.
""Nilitegemea siku zisizo nyingi kuona serekali pamoja na DP World wanakaa kikao Serena hotel kuyajadili haya makitu, hata mkanialika sio vibaya tukaa pale na hawa mabwana wakubwa tukawaeleza kilio cha umma wa watanzania, kwani katika mijadala ya namna hii huwa akiharibiki kitu, kwa imani yetu wazee wa Pwani, niandalieni tu Pepsi baridi inatosha sana. /or wheather an act of illusion!, to end this obligations! Get it?
 
PUMBA TUPU, ongelea bandari mambo ya dini waachie mashekhe na maaskofu, nyie ndio chawa wa mama mkishindwa kwa hoja mnakimbilia kwenye Dini.
 
Udhaifu wa kuongoza nchi ndio unazua huu ujinga, kama tatizo ni hospitali za makanisa, nanyi jengeni hospitali zenu mpewe hiyo misaada mnayolilia na serikali.

Poor cry babies.
 
Walikuwapo wakatoweka. Mabilioni bado hawajalipa:

View attachment 2674744

Kama mchezo wa kuigiza wengine nao wanaibuka.

Ngoma inogile ngoja tuone.
Yaani wanasema DP world watatupatia zaidi ya trilioni 27 kwa mwaka na faida kibao lakini hapo hapo wanasema bado hatujaanza majadiliano yoyote na DP world kuhusu kuwekeza bandarini. Sasa sijui wamejuaje hizo faida? Hizo blah blah za Tz kulipwa 27trilion kila mwaka zinatokea wapi ikiwa hazionekani kwenye mkataba wala makubaliano

Wanasema kilichofanyika ni kupitisha tu makubaliano ya ushirikiano baina ya Tanzania na Dubai halafu baadaye ndio majadiliano na DP world yaanze. Sasa kwanini wanaitetea mnoo hiyo DP world?
Wameshajua majadiliano hayo yatazaa nini?
 
Hata wakati wa mgogoro wa gesi kipindi, tuliambiwa Faida itakuwa kubwa, Leo yapo wapi.
 

..halafu kuna watu walikuwa wanaweka msisitizo kwamba tukakope, au kufanya biashara na mataifa ya Kiarabu.

..hoja ilikuwa kwamba Waarabu wana mapesa mengi, mikopo wanayotoa ni nafuu, na hawana mikataba ya kinyonyaji.

..sasa nimekuja kushangaa ktk huu mkataba wa DP. Kwa kweli sidhani kama una tofauti na mikataba ya kinyonyaji tuliyowahi kuingia na mabeberu.
 
Walikuwapo wakatoweka. Mabilioni bado hawajalipa:

View attachment 2674744

Kama mchezo wa kuigiza wengine nao wanaibuka.

Ngoma inogile ngoja tuone.
Serikali hii inakoelekea itawahitaji akina Musiba, Sabaya, Odunga, Makonda ili itoboe baada ya akina Steve Nyerere, Kitenge Kidoti kukosea kusoma ramani kwenye medani.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…