Sakata la Fei Toto, Yanga inachekesha na kusikitisha

martial jb

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
863
Reaction score
1,462
Habari wakuu,

Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.

Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa Fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.

Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.

THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!

Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?

Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.

Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.

Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.

Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.

Young_Africans_SC_(logo).jpg
 
Kwanini swala hili TFF imeamua kulifanya siri haitaki kutoa mchanganuo wa kanuni zilizotumika kuhukumu pamoja na sheria aliyovunja Feisal kila mtu aone

Hiyo ndio hoja yangu mimi
Kasome barua ya tff tena.wamesema maelezo ya kina wanawatumia pande zote mbili siri waamue wao ila ile taasisi ya kitaalamu sio konde gang
 
Habari wakuu,

Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.

Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.

View attachment 2535389
Akili yako ni ndogo sana. Hustahili kuandika chochote ktk jukwaa hili. Nashauri jitoe
 
Kwanini swala hili TFF imeamua kulifanya siri haitaki kutoa mchanganuo wa kanuni zilizotumika kuhukumu pamoja na sheria aliyovunja Feisal kila mtu aone

Hiyo ndio hoja yangu mimi
Mkuu nakuona unafafanua kinagaubaga swala hili kwenye nyuzi zingine, Lakini watu wamekaza fuvu. Hata lile shauri la kwanza walisema hivi hivi jumatatu watatoa mchanganuo lakini haukusikika....
 
Habari wakuu,

Ni dhahiri kwa hali ilipofikia inaonyesha fika kuwa Yanga wameamua kutia aibu brand ya klabu na mashabiki wao kuijumla.

Hii ni kuhusiana na sakata la Feitoto
Kila dalili zinaonyesha kuwa fei haitaki Yanga lakini Yanga wanaonyesha ung'ang'anizi wa hali ya juu kwa mchezaji huyo, jambo linalotafsiriwa kama ni aibu kwa klabu upande wa wadau mbalimbali wa soka.

Tayari taswira inaonyesha kuwa Fei ni mkubwa kuliko Yanga kwa vitendo vinavyoonyeshwa na Yanga. Kutokana na hili hata Mama Fei mwenyewe anashangaa kwa nini Yanga wamekuwa Sikio la kufa kwa mteja wake!.

THIS IS INSANE FOR THE CLUB!
Tukumbuke nyuma kidogo Simba SC ilivyoonyesha hadhi yake mbele ya wachezaji wake mahiri kama Singano Messi na Emmanuel Okwi kudhihilisha ukubwa wa klabu mbele yao.
THIS IS HOW MUST BE!

Okay tuachane na hayo tuje kwenye ukweli sasa, Kama Yanga wanatambua mchango wa Fei kwenye klabu yao, kwa nini wasitimize au kumpatia stahiki zake ikiwemo na vigezo vyake anavyohitaji!?

Karibu Tanzania nzima inafahamu ni jinsi gani Feisal Maestro alivyoipenda sana Yanga, kiasi cha dhahiri kudhihilisha kuwa Yanga ndio waliomkosea kijana wao kwani si rahisi Feisal kuibadilika Yanga kufikia hatua hiyo.

Ikumbukwe mchezo huu mchafu haujaanza leo kwa klabu ya Yanga kutaka kudhulumu stahiki za wachezaji wake, na mara kadhaa kesi hizi zimepelekwa TFF na ngazi zingine za juu, endapo ukiangazia sakata la Kakolanya na Morrison.

Itoshe kusema dharau kwa wachezaji wa ndani zikome kwani kinachoangaliwa ni kiwango na si utaifa. Pili, Yanga ijitathmini maana kuhonga kwenye ngazi za Uongozi haiwezi tosha mbele ya haki ya mtu!.

Naomba wachezaji mjifunze kwa hili ambalo YANGA wanafanya kwa wachezaji wa ndani. Kwa kweli inasikitisha sana.

View attachment 2535389
Una upeo mdogo sana wa kufikiria.
Mshahara wa milioni nne, Feisal alisainiwa na nani kwenye mkataba? Alikuwa amelewa alivyokuwa anasaini? Alishikiwa bunduki wakati wa kusaini? Hakuona ni ndogo wakati anasaini? Je aligoma kusaini mpaka aongezewe au alilidhika nayo?

Unataka Yanga iachane na Feisali sawa je waachane kienyeji au kisheria? Kama kisheria unajua ni taratibu zipi za kufuata timu inayomuhitaji Feisal?
 
Kasome barua ya tff tena.wamesema maelezo ya kina wanawatumia pande zote mbili siri waamue wao ila ile taasisi ya kitaalamu sio konde gang
Nimesoma na hilo ndio tatizo ambalo mimi naliona

Kwanini maelezo hayo watumiwe wahusika tu huku umma ukiwa gizani tofauti ma kesi zingine tulivyoona zikiwa operated?
 
Mfano kesi zipi hizo
 
Una upeo mdogo sana wa kufikiria.
Mshahara wa milioni nne, Feisal alisainiwa na nani kwenye mkataba? Alikuwa amelewa alivyokuwa anasaini? Alishikiwa bunduki wakati wa kusaini? Hakuona ni ndogo wakati anasaini? Je aligoma kusaini mpaka aongezewe au alilidhika nayo?

Unataka Yanga iachane na Feisali sawa je waachane kienyeji au kisheria? Kama kisheria unajua ni taratibu zipi za kufuata timu inayomuhitaji Feisal?
Una uhakika alikuwa akipatiwa hizo milioni nne!? Ulikuwa unashuhudia mkuu!?

Haina shida, sawa anapatiwa milioni nne haya sasa haitaji kuendelea kuitumikia klabu mbona sasa hamtaki kukaa mezani kuzungumza kuhusu kuvunja mkataba wake!

Yanga wengi ni wavivu wa kufikiri
 
Unajiabisha aisee.
Feisal lini aliomba wakae mezani kwaajili ya kuvunja mkataba? Feisal kavunja mkataba peke yake bila kukaa mezani na muajiri wake. Ndipo mwajiri akaamua kupeleka shtaka TFF ambapo mpaka leo hii imefanyika review. Niambie lini Feisal kaomba uongozi wa Yanga wakae mezani ili kuvunja mkataba?
 
Kweni kesi zanafanana?

Kamati inayosimamia hii kesi ndo Ile na wajumbe pamoja na mwenyekiti yuleyule?

Hii kesi ya mwaka gani? Sheria hazijabadilika?
 
Back
Top Bottom