Sakata la Fei Toto, Yanga inachekesha na kusikitisha

Kweni kesi zanafanana?

Kamati inayosimamia hii kesi ndo Ile na wajumbe pamoja na mwenyekiti yuleyule?

Hii kesi ya mwaka gani? Sheria hazijabadilika?
Zote ni kuhusu mikataba

Kamati ndio nini?

Sheria hazijabadilika na ipo pia reference recently ya kesi ya Manara ambayo mchanganuo ulifanyiwa mbele ya journalists
 
Zote ni kuhusu mikataba

Kamati ndio nini?

Sheria hazijabadilika na ipo pia reference recently ya kesi ya Manara ambayo mchanganuo ulifanyiwa mbele ya journalists
Kuhusu mikataba ndo kufanana kwa kesi?
 
Brother unanchosha
 
Sasa kama hawajitambui wasaidiwe vipi?na wakiambiwa wawe wanawatumia wanasheria hawataki,Kumbuka sakata la OKWI alikuwa anajua nini alichoki saini na ndio maana alikuwa akishinda.Kwenye sheria hakuna huruma.Sio kama yanga ana mng'ang'ania lakini anataka kutetea haki yake.
 
Hii Aya ndo inasadifu uwezo wako wa akili...!
 
Pumba


Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama haitaji kuendelea na timu ,kwenye mkataba lazima kuwepo na vipengele vinavyoonyesha nini cha kufanya,hapo hapo lazima kuna vifungu tena vinavyomlinda mwajiri wako juu ya hilo.Huwezi tu ukaamka eti mi nataka kuvunja mkataba niambieni ni bei gani,unaulizwa kwanini ohooo basi tu nimeamua!!!wanakwambia wewe ni mali yetu bado subilia mkataba wako uishe ndio uondoke.
 
Zote ni kuhusu mikataba

Kamati ndio nini?

Sheria hazijabadilika na ipo pia reference recently ya kesi ya Manara ambayo mchanganuo ulifanyiwa mbele ya journalists
Mmmmmmh hoja ya uwazi wa mwenendo wa kesi unaitafsiri vp?
 
Umeambiwa kama una uwezo peleka ofa umchukue. Au anzisha timu yako ambayo wachezaji watakuwa wanaondoka tu muda wowote bila kufata taratibu tuone mwisho utabaki na wachezaji wangapi. FIFA wenyewe kwa kuliona hilo walizuia mchezaji kujiondokea tu katikati ya msimu.
 
akili yako iko ma ta koni,fei ana mkataba na yanga na yanga ina haki zote juu ya fei,punguza bangi
 
Hii mada ina usimba
 
Kwanini swala hili TFF imeamua kulifanya siri haitaki kutoa mchanganuo wa kanuni zilizotumika kuhukumu pamoja na sheria aliyovunja Feisal kila mtu aone

Hiyo ndio hoja yangu mimi
Sioni sababu ya kuzunguka hapa, jibu ni fupi na rahisi tu; kwasababu utopolo wamebebwa.
 
Kasome barua ya tff tena.wamesema maelezo ya kina wanawatumia pande zote mbili siri waamue wao ila ile taasisi ya kitaalamu sio konde gang
Wewe na akili zako timamu, unaamini taasisi inayotakiwa kutolea maamuzi masuala yanayokuwa na migongano ni sahihi kwake kurudisha hiyo migongano ikaamuliwe na wahusika wa kwenye mgogoro?

Hii taasisi imefeli, haifai tena kuendesha mpira wetu, kwangu afadhali ya konde gang kuliko hiyo taasisi.
 
Kwanini swala hili TFF imeamua kulifanya siri haitaki kutoa mchanganuo wa kanuni zilizotumika kuhukumu pamoja na sheria aliyovunja Feisal kila mtu aone

Hiyo ndio hoja yangu mimi
Tff ikuonyeshe wewe kama nani labda? Kama unataka nakala ya hukumu nenda ukaichukue uko tff acha ujinga wako
 
Kwa kutumia knowldge kidogo ya Sheria Inaonesha
huna hata elementary knowledge ya sheria/Mikataba hivyo hukustahili kuchangia wakati hujui chochote.
Labda nikupe mfano rahisi
Ukimpa dereva wa lori (mwenye mkataba wa ajira) Ndizi kutoka mbeya apeleke Dar; Akafika iringa akapaki lori eti amepata kazi ya kuendesha gari sehemu nyingine, maana yake ni kuwa; amekuacha bila taarifa hivyo ndizi zote kwenye gari zitaharibika nk
Hivyo dereva anaweza kutakiwa kulipa hasara yote iliyopatikana ndipo mazungumzo mengine yafanyike

Mchezaji akiwa anacheza klabu kubwa matendo yake yanatakiwa yaendani na ukubwa wa klabu anayochezea; Naaminisha Fei anachezea moja ya Klabu kubwa kabisa Tanzania ila anafanya maamuzi kama anachezea timu ya Wilaya bila kujali hasara timu inayoweza kupata???
Hivi; kulikuwa na uharaka gani wa kutimka dirisha dogo huku akiacha timu yake ikikabiliwa na ligi ya Ndani pamoja na ligi za kimataifa? Huo uamuzi unaweza kupelekea timu ipate hasara ya mamilioni kama sio mabilioni kwa kukosa Kombe nk!
Kimsingi kesi yake ya Awali ilipo amuliwa kuwa yeye ni mchezaji halali wa Yanga; angerudi haraka Yanga na kuendelea na mazoezi huku mwanasheria wake akiendelea na taratibu za kesi. Kukiuka huo uamuzi na kuendelea kukaa Nyumbani ni kuongeza kosa lingine...
by the way uamuzi wa kesi yake ulikuwa sio wa kumkomoa kwani ingekuwa huko FIFA uamuzi huambatana na faini kubwa au kufungiwa kwa miezi kadhaa....
mwisho; Sijaona mkataba wake ila ninachoweza kusema, kijana wetu hakupata ushauri mzuri hivyo asaidiwe tu kibidadamu bila hivyo hatoboi.....
 
Yanga sio genge la wahuni kama lilivyi genge lenu la wakina Mangungu, Mkataba unavunjwa kienyeji unavyotaka wewe? Acha utahaira
 
Wapuuzi wengi wanadhani sheria za mpira ni kama za Kazi kwamba unaweza kuondoka tu utakavyo wewe, ingekuwa hivyo mpira ungekuwa upuuzi,na mambumbu wengi nchini hawataki kumgusa na kuona aliyempa hela kiwa kakosea ila Yanga,shenzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…