NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
hata iyo msimu ujao atacheza mpak wazee watake...shenzy typu zake[emoji28][emoji28]uyu ata kuja kuanza kucheza msimu ujao
Imekula kwake huyohata iyo msimu ujao atacheza mpak wazee watake...shenzy typu zake
Akili Hana huyo dogo kipaji chake kinapotea kwa kuendekeza uswahiliWajinga ndio waliwao.
Mawakili endeleeni kula hela za mjinga.
Duh mbona Kama una makasiriko.Utopolo wapumbavu sana..... sio timu ya kucheza mtu mwenye future
Kwani alidhurumiwa stahiki zake? Alikua halipwi kadili ya mkataba?Utopolo wapumbavu sana..... sio timu ya kucheza mtu mwenye future
Hasira za nini Fwei Toto vunja mkataba kistaarab sio kuvimbaUtopolo wapumbavu sana..... sio timu ya kucheza mtu mwenye future
Fei naamini atakuwa funzo kwa vijana wengi tamaa Mbele mauti nyuma......yanga haiyumbi ni kufanikiwa tu ,yeye kiwango kinashuka tuKiungo Feisal Salum 'Fei Toto' alifika mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji leo Aprili 12, 2023 kujua hatma ya barua yake ya kuomba kuvunja mkataba na klabu ya Yanga,
Fei Toto aliongozana na wakili wake Fatma Karume ambaye baada ya kumaliza kusikilizwa leo amesema kuna vitu vya kisheria vinatakiwa kuwasilishwa Aprili 18 na 25 na Mei 4 ndipo rasmi shauri litasikilizwa tena.
"Tunasubiri Mei 4 tutasikilizwa," amezungumza Karume ambaye aliulizwa kuhusu uelekeo wa sakata hilo na kusema hana chochote cha kuzungumza.
Source mwananchi.
Ukiwa umesoma sheria vizuri na ukaielewa utajiona ww mkosaji SANA...... YANGA inasimamia msimamo wake asije kuibuka mchezaji mwingine mambo yakawa ndivyo sivyoUtopolo wapumbavu sana..... sio timu ya kucheza mtu mwenye future
Labda katelekezwa na maisha, sasa kwanini asiwe na makasiriko?Duh mbona Kama una makasiriko.
Mifano ya waliopitia njia ya Fei Toto na maamuzi yaliyowafikia iko hapaUkiwa umesoma sheria vizuri na ukaielewa utajiona ww mkosaji SANA...... YANGA inasimamia msimamo wake asije kuibuka mchezaji mwingine mambo yakawa ndivyo sivyo
Kweli kabisa mkuu.Shule nayo ni jambo la msingi aisee inasaidia sana aliyoyapeleka TFF Yanga walitangaza Yeye anaenda TFF akili empty (akakanyage Jangwani kumalizana akiondoka na ball analiacha haohapo akili kichwani)
Kweli kabisa aisee.Fei Toto siyo kiumbe wa kumsikitikia hata kidogo. Maana ana kila dalili ya kutojitambua.