Sakata la Gasi -Mtwara

Sakata la Gasi -Mtwara

waache wenyewe walimalize.

Mimi niko mtwara, kilichotokea ni baada ya kusomwa bajeti ya wizara ya nishati na madini, wananchi wa mtwara walikuwa wanasubili kusikia tamko la waziri kuhusu hatima ya gesi, hali ilibadilika pale ambapo waziri alitamka kuwa mpango wa kujenga bomba la kusafilisha ges kuoka mtwara kwenda kinyerezi uko pale pale kama ilivokuwa awali, kwa saasmji wa mtwara na maeneo yote yanayozunguka ni milio ya lisasi na mabomu ya kutoa machozi toka sa tatu asubh mpaka sasa hali ni tete sana, wanachi wamechachamaa, sijui hatima ya jambo hili itakuwa ni nini, shughuli zote za kijamii na kiuchumi zimesimama, hakuna duka, wala gari kutembea, serikali intakiwa kuchukua hatua za haraka sana watu tupo amani hakuna njia pekee ni kukaa na hawa wanchi kutafta muafaka la sivyo, bhasi ni hatari tupu, mpaka sasa kuna habari kuwa tayari askari 3 wameuliwa, na wananch kaghaa, tunakwenda wapi?
 
Kweli umeonesha ugeni pamoja na munkali ya juu kiu ya kujua mambo!your welcm
 
Sku nyingine utaitwa mwizi kuingia kwenye majumba ya watu bila kubisha hodi, KARIBU JF KIONGOZI
 
Kweli lakini kwa hali ya jana mpaka nikaona hodihodi zikizidi ntasahau kilichonifanya nijiunge jf mtusaidie myongozo 2
 
Back
Top Bottom