Sakata la Jezi: Mashabiki wa Simba Wamkataa Vunja Bei

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya Taarifa ni kwamba , Ndugu Vunja Bei hakuwa mkweli kutangaza kwamba Jezi mpya za Simba zimeisha , alificha ili leo aziuze kwa Bei mbaya .

Inasemekana leo jezi hizo zinauzwa kwa Laki mbili kwa jezi moja tu , jambo hili limewakasirisha mno washabiki wa Simba , na sasa WANATAKA MKATABA WAKE UVUNJWE .
 
Mkuu kuna shughuli kubwa kwa Mkapa....

Hayo mengine hayana maana...
 
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya Taarifa ni kwamba , Ndugu Vunja Bei hakuwa mkweli kutangaza kwamba Jezi mpya za Simba zimeisha , alificha ili leo aziuze kwa Bei mbaya .

Inasemekana leo jezi hizo zinauzwa kwa Laki mbili kwa jezi moja tu , jambo hili limewakasirisha mno washabiki wa Simba , na sasa WANATAKA MKATABA WAKE UVUNJWE .
Wana Yanga na Manaramtazusha mengi sana leo. Wengine eti mashabiki wa Simba wamegomea jezi ni mbaya tofauti na zilizotangazwa. Wewe eti Vunjabei kazificha ili aziuze leo kwa bei kubwa. Sasa tuchukue lipi?

Ila mimi kama mwana Simba, jambo letu ni moja tu; KUIJAZA LUPASO KWA CHE NKAPA kwasababu SIMBA NI NGUVU MOJA!!!
 
Fuatilia Kwenye Mwananchi Mtandaoni , mimi sihusiki na wala mimi si Yanga
 
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya Taarifa ni kwamba , Ndugu Vunja Bei hakuwa mkweli kutangaza kwamba Jezi mpya za Simba zimeisha , alificha ili leo aziuze kwa Bei mbaya .

Inasemekana leo jezi hizo zinauzwa kwa Laki mbili kwa jezi moja tu , jambo hili limewakasirisha mno washabiki wa Simba , na sasa WANATAKA MKATABA WAKE UVUNJWE .
Yaan mtu mkanda wake kafunga kwa kamba ya viatu suruali inaviraka mayebo yebo yameisha kwa ajili ya kutembea umbali mrefu anataka mkataba wa mabilion wa simba na vunjabei uvunjwe
 
Acha dharau .
 
Kama taarifa yako isingekuwa na neno " inasemekana" ingekuwa na uzito fulani, lakini hii uliyoleta hapa ni kama tetesi.
 
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya Taarifa ni kwamba , Ndugu Vunja Bei hakuwa mkweli kutangaza kwamba Jezi mpya za Simba zimeisha , alificha ili leo aziuze kwa Bei mbaya .

Inasemekana leo jezi hizo zinauzwa kwa Laki mbili kwa jezi moja tu , jambo hili limewakasirisha mno washabiki wa Simba , na sasa WANATAKA MKATABA WAKE UVUNJWE .
🤣
 
Back
Top Bottom