Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
HayaMkuu kuna shughuli kubwa kwa Mkapa....
Hayo mengine hayana maana...
Wana Yanga na Manaramtazusha mengi sana leo. Wengine eti mashabiki wa Simba wamegomea jezi ni mbaya tofauti na zilizotangazwa. Wewe eti Vunjabei kazificha ili aziuze leo kwa bei kubwa. Sasa tuchukue lipi?Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya Taarifa ni kwamba , Ndugu Vunja Bei hakuwa mkweli kutangaza kwamba Jezi mpya za Simba zimeisha , alificha ili leo aziuze kwa Bei mbaya .
Inasemekana leo jezi hizo zinauzwa kwa Laki mbili kwa jezi moja tu , jambo hili limewakasirisha mno washabiki wa Simba , na sasa WANATAKA MKATABA WAKE UVUNJWE .
Fuatilia Kwenye Mwananchi Mtandaoni , mimi sihusiki na wala mimi si YangaWana Yanga na Manaramtazusha mengi sana leo. Wengine eti mashabiki wa Simba wamegomea jezi ni mbaya tofauti na zilizotangazwa. Wewe eti Vunjabei kazificha ili aziuze leo kwa bei kubwa. Sasa tuchukue lipi?
Ila mimi kama mwana Simba, jambo letu ni moja tu; KUIJAZA LUPASO KWA CHE NKAPA kwasababu SIMBA NI NGUVU MOJA!!!
Yaan mtu mkanda wake kafunga kwa kamba ya viatu suruali inaviraka mayebo yebo yameisha kwa ajili ya kutembea umbali mrefu anataka mkataba wa mabilion wa simba na vunjabei uvunjweKwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya Taarifa ni kwamba , Ndugu Vunja Bei hakuwa mkweli kutangaza kwamba Jezi mpya za Simba zimeisha , alificha ili leo aziuze kwa Bei mbaya .
Inasemekana leo jezi hizo zinauzwa kwa Laki mbili kwa jezi moja tu , jambo hili limewakasirisha mno washabiki wa Simba , na sasa WANATAKA MKATABA WAKE UVUNJWE .
Acha dharau .Yaan mtu mkanda wake kafunga kwa kamba ya viatu suruali inaviraka mayebo yebo yameisha kwa ajili ya kutembea umbali mrefu anataka mkataba wa mabilion wa simba na vunjabei uvunjwe
ingia mwananchiKama taarifa yako isingekuwa na neno " inasemekana" ingekuwa na uzito fulani, lakini hii uliyoleta hapa ni kama tetesi.
🤣Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya Taarifa ni kwamba , Ndugu Vunja Bei hakuwa mkweli kutangaza kwamba Jezi mpya za Simba zimeisha , alificha ili leo aziuze kwa Bei mbaya .
Inasemekana leo jezi hizo zinauzwa kwa Laki mbili kwa jezi moja tu , jambo hili limewakasirisha mno washabiki wa Simba , na sasa WANATAKA MKATABA WAKE UVUNJWE .
Ohooooo[emoji1787]